Bado sana. Hiyo ni karibu nusu ya Garden City. Hiyo ikija Nairobi itashindwa na malls kama 7 hivi. Wacha nikupe list.
1. Two Rivers - 67,000 sq.m
2. Garden City Mall - 50,000 sq.m
3. Sarit Center - 46,000 sq.m
4. The Hub, Karen - 35,000 sq.m
6. Westgate Mall - 33,000 sq.m
7. Signature Mall - 32,500 sq.m
8. Mlimani City Mall - 30,000 sq.m
Remember sijaongeza BBS mall ambayo iko karibu kukamilika na itakuwa kubwa karibia Two Rivers probably zaidi.
Nikiwaambia kwa malls mko nyuma yetu saana si utani Bradhee. 🤣 🤣