Alaaa! Kumbe ndio maana wanamaanisha Entebbe, kama sikosei ni Kiti kwa Kiganda, hivyo wakaona pawe na Ikulu anapokaa kiongozi mkuu wa nchi.Entebbe ni mji mdogo uliotulia uko vizuri kidogo kuliko kampala. Ikulu ya Uganda iko Entebbe
[emoji44]Nimeona Afghanistan sio Dar..,
View attachment 2336139
View attachment 2336140
View attachment 2336141
View attachment 2336142
Am now seated, niko relaxe mode, hapa umeandika kwa maumivu sana, porojo na propaganda tupu, eti ikija malls utaje Tanzania sentensi moja na Kenya kweli?πππππ, tuusan kindly advise this gentleman accordingly. The best 007 umeandika exactly what u do, mkikosa jibu ni vijisababu na maneno mengi, nothing to post., nje ya Nairobi kuna malls mingi sana far better than in the whole of Dar is slum, ila huu ukweli huwa uchungu kwako kumezaππππ..,Wakunya hamjawaelewa, at least joto la jiwe anawaelewa vzr sn, wako hivi, wakiona battle inawaelemea huwa wanaanza kuipotezea battle kwa kuingiza vitu ambavyo havihusiani, mfano atatafuta nchi ambayo ni inferior zaidi alinganishe na yenu alafu wewe ukiingia kichwa kichwa anakutoa kwenye mchezo mana hapo hata kisaikolojia utaona ikiwa Dar inazidiwa na Kampala vipi ka Nairobi, hapo tayari anakuwa ameshinda wakati uhalisia hauko hivyo.
Kenya wana Mall moja tu ambayo unaweza kuiita Mall na inaitwa Two Rivers, zingine zote ni uchafu, sisi tuna Malls chache ukilinganisha na Malls uchafu zilizo ndani ya ka Nairobi lkn ni classic.
Uganda siwezi kuizungumzia mana bado ni kijiji nchi nzima. Kwa kumalizia tu naomba muwe mnawaelewa hawa mbwa tunao battle nao, wana tabia fulani mbaya mbaya za kutaka kushinda kila kitu japo hali halisi haiko hivyo, angalieni joto la jiwe au ichoboy01 anavyotembea nao, msiwape nafasi kabisa, mfano hapo kwenye battle ya Malls msikubali kuhama kutoka Dar vs ka Nairobi to Dar vs Kampala.
Now this is what am talking aboutππππ., here clip ya Dar ni ya 2022.., alafu hiyo ni picha ya Nairobi ya mwaka gani?ππππ, umeumwa sana!πππ Kuna picha ya same views 2020s.., mnapata tabu sana., tumewashika kabisa, propaganda zenu ninaumbua.., ukweli inauma ila zoea sio makosa yetu, Kenya iko ilivyo na Dar is just Dar.., hautabadilisha..,
Hii Kandahar kabisa [emoji1]
But Kampala has many malls compared to entire Tanzania.Ushakunywa chai kwanza.? isije ikawa haya maneno ni njaa ndio inakusumbua..!π€£
Hio clio ni Dar 2019 acha kutupiga kamba..Now this is what am talking about[emoji14][emoji23][emoji23][emoji23]., here clip ya Dar ni ya 2022.., alafu hiyo ni picha ya Nairobi ya mwaka gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umeumwa sana![emoji14][emoji14][emoji23] Kuna picha ya same views 2020s.., mnapata tabu sana., tumewashika kabisa, propaganda zenu ninaumbua.., ukweli inauma ila zoea sio makosa yetu, Kenya iko ilivyo na Dar is just Dar.., hautabadilisha..,
Ulienda chuo ama elavated secondary school? Cause kama ni kile kitu ulitaja basi there's no difference between it and a Kenyan secondary school.Mzee mimi nilienda chuo Ili niweze kuwa na uwezo was ku reason na sio kumezeshwa matango, mimi sie chizi was kukubaliana na takwimu kizembe since kila kitu kinakanekana kwa macho, usijisaulize hii ni battle ya videos ama picha, tusiongelee mate wakati wino upo.. Twende ground mzee
Akamwesi Shopping MallList malls za Kampala na Sqm tuone
Are you aware that Kampala is above Dar in almost everything?Malls za kampala ni retail stores zilizojengwa kwenye viwanja vikubwa, otherwise in kampala hakuna mall hata moja yenye inawezana na na Malls kubwa za DSM
[emoji44]Now this is what am talking about[emoji14][emoji23][emoji23][emoji23]., here clip ya Dar ni ya 2022.., alafu hiyo ni picha ya Nairobi ya mwaka gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umeumwa sana![emoji14][emoji14][emoji23] Kuna picha ya same views 2020s.., mnapata tabu sana., tumewashika kabisa, propaganda zenu ninaumbua.., ukweli inauma ila zoea sio makosa yetu, Kenya iko ilivyo na Dar is just Dar.., hautabadilisha..,
Ila kwa sasa tunaongelea malls.Hilo sio tatizo kabisa...Tz kuna kariakoo nadhani umewahi kufika pale utapata hadi vidole vya spair [emoji28][emoji28]
Ungelist za Dar kwanza halafu nipige counter.List malls za Kampala na Sqm tuone
Ebu post nami nikupostie za Kampala tuone.Unaweza isiadia nikipost malls kutoka DAR .?
Kwani malls ni viwanda?v2 vingine havina hata impact ya mana kwann vituumize kichwaKampala hii hii yenye vumbi? Umewahi kufika au unakubaliana na kila kitu kinachoi discredit nchi yako.
3 years is still recent man for any meaningful change, haswa the afghan density, ungesema 10 years back.ππππ.
Tanzanians just like cheating themselves, that's why utaona wanapinga a hadi na data za World Bank, IMF, Knight Frank, Forbes na Hadi za serikali Yao.Hii hapa ndio mall kubwa Dar
Naweza ilinganisha na Buffalo Mall, Naivasha
Ama Ananas Mall Thika
Meanwhile Cheki Acacia mall Kampala which is arguably the largest in Kampala.
Hapa kuna Arena Mall Kampala
Hapa kuna Kingdom Kampala Mall
Garden City Mall Kampala
Oasis Mall Kampala
Forest Mall Kampala
Kiukweli Dar kwa malls bado sana especially for a city it's size. Kampala is second only to Nairobi in East and Central Africa tukija kwa malls.
tuusan
Sama boy 255
Tz_one