Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why the independent Bodies aren’t holding uhuru accountable for grabbing land equivalent to settling 20 million Kenyans ?
Plus the massive wealth that Mama ngina has accumulated due to looting ?
Sins of the father
 
Weka hii sehemu sasa hivi.., kama panafanana hivi inbox number yako ya mpesa $100 mara hiyo unapata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niweke mm au uweke wewe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo hayo majengo mliyavunja au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo jamaa ni chizi mpaka kupitiliza, he's claiming eti hiyo ni Nairobi ya 1990s. Swali ni je kwahyo hizo gorofa zilivunjwa ama.? 🤣🤣🤣
 
Huyo jamaa ni chizi mpaka kupitiliza, he's claiming eti hiyo ni Nairobi ya 1990s. Swali ni je kwahyo hizo gorofa zilivunjwa ama.? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukimwambia hivyo huwa anakimbia, hajibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We jamaa Don YF njoo hapa 👇 Mwanza city outside CBD usiwe unailinganisha your village centers kwa Mwanza City Bro, toa heshima panapostahili.. Mwanza ni kubwa na imeendelea kuliko ARUSHA and Kisumu combined, ukiachana na ule ukubwa wa CBD ya Mwanza which is three times bigger to kidumu's CBD and two times bigger to Arusha CBD . Lakin bado Mwanza iko na maeneo yaliyoendelea na makubwa zaidi y.. shughuli za kiuchumi ndio wala tuzizungumzie .. HESHIMA UFUATE MKONDO WAKE
 
Why are you showing us shacks and slums?
 
Kuhusu propaganda CCM na serikali yake wana porojo zakutosha tu hivyo raisi yeyote anayetokea CCM itikadi zao ni moja tu,aliyethubutu kiuhalisia kidogo magu alikaza buti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…