Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiwanda kipi cha sakari kimeuliwa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tanzania nchi ya 6 kwenye nini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
So shida yako ni marcopolo kutoka kunya badala ya South Africa!
ipi ilikua startegics ya kupunguza uagizaji wa sukari toka 2021 mpaka leo 2026 mpaka leo tumepunguza kuagiza sukari nje au tumeongeza???
 
Unavyo uliza strategies za kupupunguza uaguzaje wa sukari kwani viwanda vipya Mkulazi Sugar na Bagamoyo Sugar vimeanza kufanya kazi lini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ina maana hujui hata kuwa kuna viwanda vimefanya upanuzi!
Takwimu za Uzalishaji Sukari (2021–2026)
2021: Tani 367,718
2022: Tani 370,000
2023: Tani 460,048
2024: Tani 395,293
2025: Tani 453,383
2026: Tani 410,979 (hadi mwezi Aprili 2026)
Uwezo wa viwanda: takribani tani 800,000 kwa mwaka.
Mahitaji ya ndani: Makadirio ni takribani tani 550,000 kwa mwaka, ikiwa na maana kuwa uzalishaji umezidi mahitaji ya nchi.
Na pia Tanzania inauza sukari nje kuanzia mwaka 2025.
 
Source ya hii taarifa nilijuaga ni World Bank kumbe ni World Data Lab.
Nakumbuka ulikuwa bingwa wa kukataa source uchwara saa hii ndo unazitumia. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1793181210146.png
 
Unavyo uliza strategies za kupupunguza uaguzaje wa sukari kwani viwanda vipya Mkulazi Sugar na Bagamoyo Sugar vimeanza kufanya kazi lini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ina maana hujui hata kuwa kuna viwanda vimefanya upanuzi!
Takwimu za Uzalishaji Sukari (2021–2026)
2021: Tani 367,718
2022: Tani 370,000
2023: Tani 460,048
2024: Tani 395,293
2025: Tani 453,383
2026: Tani 410,979 (hadi mwezi Aprili 2026)
Uwezo wa viwanda: takribani tani 800,000 kwa mwaka.
Mahitaji ya ndani: Makadirio ni takribani tani 550,000 kwa mwaka, ikiwa na maana kuwa uzalishaji umezidi mahitaji ya nchi.
Na pia Tanzania inauza sukari nje kuanzia mwaka 2025.
narudi kukuuliza swali
ni strategics gani so far zimepungusa matumizi ya kuagiza sukari kutoka nje ya nchi ??? kama tulivoona kipindi cha kutoka 2015 to 2021 tuliona uagizaji umepungua na unasimamia
 
Viwanda vipya vimeanza uzalishaji wa sukari.
1. Mkulazi sugar
2. Bagamoyo Sugar

Upanuzi wa viwanda
1. kilombero Sugar
kuongeza uzalishaji wa sukari kufikia tani 271,000 kwa mwaka.
2. Kagera Sugar
Kagera Sugar kinapanua uwezo wake ili kufikia uzalishaji wa tani 230,000 kwa mwaka.
Hivi unasoma na kufanya research au unabishana tu?
 
swali langu huwezi lijibu kwasababu ya rushwa na ukiritimba ulojaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
World data lab! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hapa tumefikaje to this stage nchi imekopa 51 trillions in 5 years πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»

World Data lab! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeuliza strategies umejibiwa swali lako tena baada ya kugundua una uwezo mdogo wa kufikiri ikabidi nikutafunie ili uelewe vizuri, still bado hutaki. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
rudia swali niliokuuliza 2015 to 2021 tuliwezaje kupunguza matumizi ya import ya sugar na kutoka 2021 mpaka 2026 ikawaje tukashindwa kudhibiti importation ya sukari

very simple questions au 2015 to 2021 tuliogozwa na malaika na sio binaadamu naomba majibu plz
 
Back
Top Bottom