Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Huyo mchawi anaumwa.., ukweli huwa inamtesa sana, haimwachagi salama, ukiona ana anza ku post vitu kiajabu ajabu jua ulcers zimepanda, utaskia GDP ya Tz ni $150B, ama picha za Kibera na nairobi ya zamani loading๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐., anaumwa bana90 meters in length ndio kitu unaita giant?๐๐๐คฃ