Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ona... kisumu kwa mfano ina masoko mingi, tena kubwa kubwa kushinda ata za mwanza.. masoko kamavile Kibuye Market, Nyamasaria Market, na Uhuru Market, ni baadhi tu ya masoko kadhaa tajika mjini kisumu pekee


hapa, Uhuru Market in Kisumu, kwa mfano.. see for yourself👇🏽





Kibuye Market in kisumu, now nearing completion👇🏽
 
naomba msome vizuri hii kitu ina maana sana uwez kusema ww ni super power uku uwezi kuzalisha na kuexport nje shame on you kenyani.. mnaitegemea TANZANIA kwa kila kitu na amjui kufanya kazi
Tanzania to Uganda mambo ni hayo hayo

Gari za Tanzania towards Uganda zipo in thousands!

 
Kwa masoko hata Uganda inashinda Tanzania, so I don't know where they getting the notion that they can compete with Kenya in that sector 🤣😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…