Actually ts 61% yoo happy now???Actually it's $67b![]()
Tozo za kutoa hela bank ni wizi wa mchanaWamesema wamepunguza tozo. Kwan nan walizileta?.. si bora waziondoe kbsa kutatua tatizo. Eti tutulie
![]()
Chawa wewe kila uchafu wa awamu ya 6 lina halalishaJapokuwa kipindi cha JPM ilikuwa too much, binafsi sioni tatizo saana kwenye hili la viwanja, madaraja na barabara! Linafanyika sehemu nyingi Duniani! Sioni ubaya uwanja wa Msalato Dodoma utakapokamilika kuitwa Samia Hassan International Airport!
Kwangu mimi ni tatizo unapobadili jina la sehemu ya kijiji kama Mji wa Serikali wa Mtumba kuitwa Magufuli! Majina ya sehemu huwa yana maana yake kwa wakazi husika sasa kuenda sehemu kama Mtumba halafu unapaita Magufuli ni kupoteza utambulisho, mila na desturi na mila za wakazi wa sehemu husika!
At least we would have seen trucks in opposite direction loaded with finished productsAgain kenyans coming to tz to source for raw materials not vice versa

No death from starvation, no slums, no crime, no tribalism, no corruption...which is still $70b![]()



No slums while Dar yote is one big slum! Are you going nuts?No death from starvation, no slums, no crime, no tribalism, no corruption
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ni wakati hii serikali iachane na haya matamkoMtindo huo ulianzishwa na Sukumagang kipindi cha Magufuli! Pitia vizuri hadidu rejea hutapata kipindi cha JK, Mkapa, Mwinyi ata Nyerere ikisemwa fedha zimetolewa na Rais!
Mimi wakianza huu ujinga hua Maxima TV!Mimi mwenyewe siipendi, ikianza kushamiri kipindi cha Magu nikafikiri Mama ataikataa ila naona naye anaifurahia.
Kitu kingine sipendi ni ile tabia ya kubadilisha majina ya asili kuwa majina ya viongozi, mfano kigongo busisi Bridge inakuwa Jpm Bridge.
Leo Wami Bridge iitwe Samia Bridge.
Kama kuna umuhimu sana wa kutumia majina ya viongozi basi iwe ni kitu kipya ambacho hakina Jina la asili au ichanganywe Jina la kiongozi na Jina la asili.
Mfano Jpm Bridge iwe
Kigongo Busisi Jpm Bridge
Nyerere Bridge iwe Kigamboni Nyerere Bridge.
Ni mawazo yangu tu.
Hivi wewe una akili au ni kichaa?, Kwani so mipaka ipo huru kwa bidhaa yoyote kutoka nchi yoyote kuuzwa katika nchi zote ndani ya EAC.They import every processed product from Kenya.
Waambie walioiweka ka Nairobi kwenye orodha ya miji yenye ma slums ya kutisha duniani waliisahau DarNo slums while Dar yote is one big slum! Are you going nuts?













haya masenge ya hivi yanaboa sanaChawa wewe kila uchafu wa awamu ya 6 lina halalisha