The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Huu uwanja wenu ni wa kizee sn hata lounge yake imekaa kizamani mno, daima usithubutu kulinganisha JNIA na babu JKIA utaumbuka, cheki modernity hii hapa ya lounge za JNIA [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059]Yaani JNIA iko na launge kienyeji sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., nikisema sisi sio wenzenu mnanuna., ndio mnatoka porini kwa vile hii imefunguliwa majuzi tu kulingana na kauli yako, haikuwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
In JKIA restaurants ni kadhaa.., with a world class launge.., Baba Levo kauliza mwenzake; "Airport yao waijua?" fala akajifanya kulinganisha na JNIA, Baba Levo akajibu: "Wewe mwehu, umekufa wewe, we' sio mzima!".., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2331045
View attachment 2331049
View attachment 2331050
View attachment 2331052
View attachment 2331054
View attachment 2331055
View attachment 2331056