Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maumivu.., JKIA sio mwenzenu bana, inauma itabidi mmezoea πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

angalia iyo video vizuri uone bongo ni kubwa na siku zote sikio la kunya aliwezi kuzidi kichwa bongo..
nadhani utalia tyu ww
 
Kenya ni Mavi
tapatalk_1599215759509.jpg
tapatalk_1596226796245.jpg
tapatalk_2094698570_360x535.jpg
Screenshot_2020-10-14-09-10-00.jpg
 
Yaani JNIA iko na launge kienyeji sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., nikisema sisi sio wenzenu mnanuna., ndio mnatoka porini kwa vile hii imefunguliwa majuzi tu kulingana na kauli yako, haikuwepoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

In JKIA restaurants ni kadhaa.., with a world class launge.., Baba Levo kauliza mwenzake; "Airport yao waijua?" fala akajifanya kulinganisha na JNIA, Baba Levo akajibu: "Wewe mwehu, umekufa wewe, we' sio mzima!".., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2331045
View attachment 2331049
View attachment 2331050
View attachment 2331052
View attachment 2331054
View attachment 2331055
View attachment 2331056
Sisi tunaongelea eneo Kwenye Terminal ambapo mtu ambaye sio msafiri (ila kaenda kupokea mtu au baada ya kumsindikaza mtu ) anaweza kukaa na kupata huduma ya chakula na vinywaji. Wewe picha uliziweka ni Lounge za Wasafiri ambazo hapa Terminal 3 zipo na za aina tofauti Mfano Twiga Lounge ya Air Tanzania etc.

Kwani kwenu wanaosindikiza watu wana access na hizo lounge ulizopost?

Najua kuna kipindi huo uwanja wenu watu wanapokelea wageni wao nje na wanalowana na mvua πŸ˜‚ Kama mmerekebisha hongereni.

Hapa Terminal 3 hata ukisubiria Mgeni Nje kabisa ya Jengo hulowani wala hupigwi jua tena na pa kukaa kupo.

C31118B1-8162-4A79-BA75-7D95297286DA.jpeg

Halafu Utawazaje hakuna vitu kama hivi kwa uwanja wa Kisasa πŸ˜‚

6F070B34-B530-4829-9ADD-E95E1A467EE1.jpeg

56C4BD5B-0508-4814-B22F-1F3704CEDDDA.jpeg

9537B931-DC39-4CD7-A392-DBEF355DE564.jpeg

F0117D40-D952-49AD-9A04-02171CAFEAC3.jpeg
 
Sisi tunaongelea eneo Kwenye Terminal ambapo mtu ambaye sio msafiri (ila kaenda kupokea mtu au baada ya kumsindikaza mtu ) anaweza kukaa na kupata huduma ya chakula na vinywaji. Wewe picha uliziweka ni Lounge za Wasafiri ambazo hapa Terminal 3 zipo na za aina tofauti Mfano Twiga Lounge ya Air Tanzania etc.

Kwani kwenu wanaosindikiza watu wana access na hizo lounge ulizopost?

Najua kuna kipindi huo uwanja wenu watu wanapokelea wageni wao nje na wanalowana na mvua πŸ˜‚ Kama mmerekebisha hongereni.

Hapa Terminal 3 hata ukisubiria Mgeni Nje kabisa ya Jengo hulowani wala hupigwi jua tena na pa kukaa kupo.

View attachment 2331148

Halafu Utawazaje hakuna vitu kama hivi kwa uwanja wa Kisasa πŸ˜‚

View attachment 2331151

View attachment 2331156

View attachment 2331157

View attachment 2331158
Having a facility is one thing, making use of the facility is another.
 
Sisi tunaongelea eneo Kwenye Terminal ambapo mtu ambaye sio msafiri (ila kaenda kupokea mtu au baada ya kumsindikaza mtu ) anaweza kukaa na kupata huduma ya chakula na vinywaji. Wewe picha uliziweka ni Lounge za Wasafiri ambazo hapa Terminal 3 zipo na za aina tofauti Mfano Twiga Lounge ya Air Tanzania etc.

Kwani kwenu wanaosindikiza watu wana access na hizo lounge ulizopost?

Najua kuna kipindi huo uwanja wenu watu wanapokelea wageni wao nje na wanalowqna na mvua πŸ˜‚ Kama mmerekebisha hongereni.

Hapa Terminal 3 hata ukisubitia Mgeni Nje kabisa ya Jengo hulowani wala hupigwi jua tena na pa kukaa kupo.

View attachment 2331148

Halafu Utawazaje hakuna vitu kama hivi kwa uwanja wa Kisasa πŸ˜‚

View attachment 2331151

View attachment 2331156

View attachment 2331157

View attachment 2331158
Kwani wewe ulidhani lounge ni ya wasafiri peke yake?., banda la kuku sio levels ya JKIA bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Banda la Kuku.., linear structureπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1661159492776.png

1661159517803.png

JKIA the beast..,
1661159573859.png

1661159595786.png

1661159613809.png
 
angalia iyo video vizuri uone bongo ni kubwa na siku zote sikio la kunya aliwezi kuzidi kichwa bongo..
nadhani utalia tyu ww

Ukubwa wa Dar sio CBD ni makazi uchwara, sihitaji kutazama video, google earth inatosha, yaani naona kona zote za Tanzania, jipende mlivyo usifiche uchi unao onekana wazi wazi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
1661159718266.png
 
View attachment 2331174

we angalia hii apa ww usilinganishe dar na icho kijiji cha nairobi kwenye majaruba
 
we unazan TZ akuna TV kubwa kama izo hahahahaaa izo tena nyingi tu
Ata Somalia, Uganda, Zambia, yaani nchi fukara wanazo., kuna cha ajabu?.., ama wako juu yenu sasa? kukua navyo sio hoja., weka picha tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
mse anadhani naonyesha tv kubwa , wtf?🀣
 
Back
Top Bottom