NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
Upperhill, Look at the streets quality.
Wewe ni ke au me mkuu?Gharama za maisha zinaongezeka kwa hiyo data nazo kuongezeka hakuna ajabu..
Ulinganisho wa bei za data ,bado Tanzania ina Bei ya chini sana..👇
Mtindo huo ulianzishwa na Sukumagang kipindi cha Magufuli! Pitia vizuri hadidu rejea hutapata kipindi cha JK, Mkapa, Mwinyi ata Nyerere ikisemwa fedha zimetolewa na Rais!Yaani kasema ukweli, yaani kkusalimia huku utakuta mtu anasema anamshukuru kiongozi X kwa kutoa kiasi X cha pesa kwa ajili ya mradi X,utadhani ni pesa za kiongozi wakati ni Kodi ya wananchi,hii imeshamiri Sana hapa Tanzania 🇹🇿,siipendi hii Tabia.
Niko kote kote mkuuWewe ni ke au me mkuu?
TC 402 To Guangzhou now checking
View attachment 2329956
View attachment 2329957
View attachment 2329958
Post 9/11 kiusalama airports hazijengwi tena kama unavyotaka!Hiyo Airport yetu mpya kwa maoni yangu kama wangeweka Migahawa kama ile ya Airport ya zamani mahali ambapo unaweza kukaa kupata kahawa au kula chochote huku ukisubiri mgeni ingekuwa poa sana, mara ya mwisho nilikuwa hapo kusubiri mgeni aidha utoke nje au ukae kwenye mabenchi ile ya zamani nilizoea kwenda flamingo au kununua kitu madukani kuvuta muda, lkn ni nionavyo mimi inawezekana wengi haliwasumbui hilo!
Mimi mwenyewe siipendi, ikianza kushamiri kipindi cha Magu nikafikiri Mama ataikataa ila naona naye anaifurahia.Yaani kasema ukweli, yaani kkusalimia huku utakuta mtu anasema anamshukuru kiongozi X kwa kutoa kiasi X cha pesa kwa ajili ya mradi X,utadhani ni pesa za kiongozi wakati ni Kodi ya wananchi,hii imeshamiri Sana hapa Tanzania 🇹🇿,siipendi hii Tabia.
kiusalama airports hazijengwi kama unavyotaka!
Hili sio jambo zuri kwa nini mama hajalikataa anaendelea nalo?Mtindo huo ulianzishwa na Sukumagang kipindi cha Magufuli! Pitia vizuri hadidu rejea hutapata kipindi cha JK, Mkapa, Mwinyi ata Nyerere ikisemwa fedha zimetolewa na Rais!
Mama hataki kuleta mtafaruku!Hili sio jambo zuri kwa nini mama hajalikataa anaendelea nalo?
Japokuwa kipindi cha JPM ilikuwa too much, binafsi sioni tatizo saana kwenye hili la viwanja, madaraja na barabara! Linafanyika sehemu nyingi Duniani! Sioni ubaya uwanja wa Msalato Dodoma utakapokamilika kuitwa Samia Hassan International Airport!Mimi mwenyewe siipendi, ikianza kushamiri kipindi cha Magu nikafikiri Mama ataikataa ila naona naye anaifurahia.
Kitu kingine sipendi ni ile tabia ya kubadilisha majina ya asili kuwa majina ya viongozi, mfano kigongo busisi Bridge inakuwa Jpm Bridge.
Leo Wami Bridge iitwe Samia Bridge.
Kama kuna umuhimu sana wa kutumia majina ya viongozi basi iwe ni kitu kipya ambacho hakina Jina la asili au ichanganywe Jina la kiongozi na Jina la asili.
Mfano Jpm Bridge iwe
Kigongo Busisi Jpm Bridge
Nyerere Bridge iwe Kigamboni Nyerere Bridge.
Ni mawazo yangu tu.
Watu kama nyie ndo mnafanya ufisadi uendeleeGharama za maisha zinaongezeka kwa hiyo data nazo kuongezeka hakuna ajabu..
Ulinganisho wa bei za data ,bado Tanzania ina Bei ya chini sana..![]()
Ni wakenya wanajituma kununua vitu tanzania na si watanzania wanajituma kuuza kenya, ama unadhani hizo high tourist numbers from kenya ni tourism pekeeRaw materials mnatengenezea nn? Wallahi kuwa mkenya ni mzigo mzito duniani apa![]()

Ufisadi utaendelea tuu kama hakuna taasisi imara kama Katiba mpya..Watu kama nyie ndo mnafanya ufisadi uendeleeView attachment 2330218
cha kupewa siku zote akisitiri matako kiingereza ni kAMA KIjaluo.. tunaelewa sana sema atutaki shobo na lugha za kikoloni acha kuufurahia utumwa wa fikra.Kizungu kweli ilikuja na meli!😂😂
Ki ufupi you are telling us that you didn't understand the content of that tweet written in plain and simple English! Kizungu kizungumkuti!