Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Huyu mama kafeli everywhere, ni mpumbavu pekee anayeweza kumtetea, kila siku vitu vinapanda bei lakini yeye yupo tu na maushungi yake hajui chochote kinachoendelea maskini.Watu kama nyie ndo mnafanya ufisadi uendeleeView attachment 2330218
Wakenya wanaokuja Tz kutalii wengi ni malaya wanaokuja kujiuza Arusha na Zanzibar.Ni wakenya wanajituma kununua vitu tanzania na si watanzania wanajituma kuuza kenya, ama unadhani hizo high tourist numbers from kenya ni tourism pekee![]()
Wakija wanalala lodge zipi?Ni wakenya wanajituma kununua vitu tanzania na si watanzania wanajituma kuuza kenya, ama unadhani hizo high tourist numbers from kenya ni tourism pekee![]()
That means you buy more from us, that is very good for our economyNi wakenya wanajituma kununua vitu tanzania na si watanzania wanajituma kuuza kenya, ama unadhani hizo high tourist numbers from kenya ni tourism pekee![]()
Ndiyo hivyoUfisadi utaendelea tuu kama hakuna taasisi imara kama Katiba mpya..
Labda kuna Rais mwingine tofauti na yeyeHuyu mama kafeli everywhere, ni mpumbavu pekee anayeweza kumtetea, kila siku vitu vinapanda bei lakini yeye yupo tu na maushungi yake hajui chochote kinachoendelea maskini.
Hii ndiyo shida ya urais wa ngekewa.Labda kuna Rais mwingine tofauti na yeye
hii project inaniboa kwamba ni two lanes anyways it was needed regardless ..in 5 years time tutahitaji a new one pembeni yake
Makini sana
Hapo hakuna foleni tena...speed limit iwe 50km/hrFoleni za wale wanaendaga kuhesabiwa Xmas zitaisha hapo darajani!
Utumwa gani hapo sasa? Kusema mtu hajaelewa alichopost ni kosa?cha kupewa siku zote akisitiri matako kiingereza ni kAMA KIjaluo.. tunaelewa sana sema atutaki shobo na lugha za kikoloni acha kuufurahia utumwa wa fikra.
Afadhali two lanes kuliko Nothing bruhhii project inaniboa kwamba ni two lanes anyways it was needed regardless ..in 5 years time tutahitaji a new one pembeni yake
...which is still $70b 😃That means you buy more from us, that is very good for our economy
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
ahahaaaaaaaaaaUtumwa gani hapo sasa? Kusema mtu hajaelewa alichopost ni kosa?