Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Yani kwa hizi namba hata sielewi kwa nini Air Tanzania haiendi UK na USA.

52,301÷280=186

Hii inamaanisha wanaweza kuwa na safari 186. Ukigawanya kwa wiki 52 kwa mwaka

186÷53=3

Yani they can have 3 weekly flight to the US. Hivi hawa jamaa wataamka lini?

Nimekosea namba ila najua point imefika,,

Assuming wooote watapanda Air Tanzania! Kiufupi ndege za Air Tanzania zilizopo za masaa marefu hazitoshi!
 
Ninyi mnafuatilia kila kitu cha Tanzania, kuanzia Bongo flavor, football ya Tanzania hadi siasa za Tanzania, hasa Magufuli, Lissu na wanamziki wote.

Diamond alikuja katika kampeni za uchaguzi wenu, baadhi ya viongozi wenu mumekuwa mkiwapa majina ya viongozi wa Tanzania (Fred Matiang'i/Magufuli).

Huku Tanzania inaweza kuputa mwezi mmoja bila kusikia redio au TVs station yoyote kupiga wimbo wa Kenya.

Kitendo cha Diamond kuitwa kufanya kampeni za Raila ni dhahiri kwamba tumewatawala sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
The fact that Nairobi nzima wanaongea kiswahili ni dalili za kuwatawala, Mkenya kuacha lugha ya kujipendekeza kwa Malkia na lugha zao za Makabila ni kazi kubwa tumefanya.

Ila Waganda wajanja sana, licha ya kuwachapa wamekidindia kabisa Kiswahili, wameamua kufa kijeuli kama mtoto wa Simbachawene……..😅😅 lakini the fact kwamba Afrika nzima inaenda kuongea Kiswahili, kila goti litapigwa kwa Mfalme mpya anayekwenda kuitawala Afrika nje ndani.
 
dada wa kikenya leo kapost akiwa dar,kalikubali sana hili jengo,katika youtubers wanaokuja TZ huyo kaipatia sana dar na zenj
Kapiga mihogo , mishikaki na sharubati ya miwa coco beach . Halafu bei ni ya kawaida kabaki anashangaa. Mi kila youtuber wa kikenya anapokuja bongo anazungumzia usafi . Inaelekea huko Nairobi fly hakunaga garbage collector
 
Kapiga mihogo , mishikaki na sharubati ya miwa coco beach . Halafu bei ni ya kawaida kabaki anashangaa. Mi kila youtuber wa kikenya anapokuja bongo anazungumzia usafi . Inaelekea huko Nairobi fly hakunaga garbage collector
Angalia na comments za wakenya kuhusu usafi,kule kwao swala la usafi awazingatii kabisa
 
Waziri wenu alisema awamu hii gharama za data zimepungua. Hii serikali ya kindezi sana
20220820_232844.jpg
 
Back
Top Bottom