Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG-20220821-WA0000.jpg
 
Daad Kenya masters program to be offered at KCMUCo

Kizungu kweli ilikuja na meli!😂😂
Ki ufupi you are telling us that you didn't understand the content of that tweet written in plain and simple English! Kizungu kizungumkuti!
 
Kapiga mihogo , mishikaki na sharubati ya miwa coco beach . Halafu bei ni ya kawaida kabaki anashangaa. Mi kila youtuber wa kikenya anapokuja bongo anazungumzia usafi . Inaelekea huko Nairobi fly hakunaga garbage collector
Ka Nairobi ni kachafu sn hakana mfano Africa hii.
 


Yani kwa hizi namba hata sielewi kwa nini Air Tanzania haiendi UK na USA.

52,301÷280=186

Hii inamaanisha wanaweza kuwa na safari 186. Ukigawanya kwa wiki 52 kwa mwaka

186÷53=3

Yani they can have 3 weekly flight to the US. Hivi hawa jamaa wataamka lini?

Nimekosea namba ila najua point imefika,,

Mwaka ujao inaanza kwenda Uingereza na Marekani
 
Hiv vitu kama angalikua anafanya magufuli uko kwao angalitukanwa vibaya mno.. vichwa vya habari vingekua.. "Magufuli atengeneza uwanja wenye hadhi ya kimataifa Nyumbani kwao". 🤣🤣🤣. Duh bongo nyoso sana
Majaliwa na Mwigulu wameanza kumiliki hizi timu awamu ya 6? Gwambina je?

Harafu huo uwanja ulianza kuboreshwa kipindi cha Mwendazake alipopata hiyo timu ,saizi wanweka tuu hizo nyasi mpya na vitaa vya hapa na pale maana umefungiwa mpaka ukidhi viwango.
 
Back
Top Bottom