Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cladding progress at Mzizima Towers

17DDEDBC-1A53-480D-BF8C-F40C55B65E61.jpeg


989908CB-4594-434B-8D2C-48D04C3706FC.jpeg



CEBB86B7-0A46-454B-A5A1-A7604F89C657.jpeg



2F67CEA4-D9B7-43B9-9446-8F569CB8557D.jpeg
 
Kwani wewe unafikiri nn kifanyike pale SGR central station zaidi ya kuwepo na taa zinazotoa reflection ya rangi hiyo? Anyway si kitu cha muhimu TRC wahakikishe reli inakamilika na inaanza operations!
Ilo jengo la stesheni dar usiku lipo dull sana ofcoz sio kitu cha muhimu ila kikifanyika kitapendezesha mji wakati wa usiku
 
Nilikuwa nasubiri nione kama kweli laana huwa inafanya kazi, now nmeamini aiseee, licha ya kupewa support na rais aliyepita lkn imeshindikana kabisa.
Laana ni noma kaka hasa ikitoka kwenye kinywa cha mzazi, tena kwa kosa lililofanyika dhahiri.
 
88 Nairobi, Prism and Upperhill Chambers standing side by side from tallest to shortest. The tower in the middle between 88 Nairobi and Prism tower is called 4th Ngong' tower, it's a 24 floors building.

Screenshot_20220820-160404_1.jpg
 


Yani kwa hizi namba hata sielewi kwa nini Air Tanzania haiendi UK na USA.

52,301÷280=186

Hii inamaanisha wanaweza kuwa na safari 186. Ukigawanya kwa wiki 52 kwa mwaka

186÷53=3

Yani they can have 3 weekly flight to the US. Hivi hawa jamaa wataamka lini?

Nimekosea namba ila najua point imefika,,
 
Back
Top Bottom