Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumia akili magufuli alikuwa kinyume na hiyo fomula ...kama angefuaya kanuni ya ccm basi mafisadi yangempenda wewe akili zako ni ndogo kushindwa kuelewa tofauti ya ccm na magufuli

Usilo lijua ni sawa sawa na usiku wa giza.
 
a wasted sperm cell.. a series of false opinion polls they realy were


Screenshot_20220815-162512_Chrome.jpg
 
Pamoja na yote lkn Karen siyo level kubwa kiihvyo kama ilivyo Masaki kwa Dar, katika maeneo posh Karen siyo namba 1 kwa Nairobi kama ilivyo Masaki kwa Dar, nimefika Karen siyo pakali kiihivyo kama maeneo ya kwa mfano zilipo Ofisi na makazi ya watu wa UN, Karen kwangu mimi ni level ya Mbezi Beach lkn hivyo jinsi nilivyoona mimi!
Wacha mchezo kijana
 
hapo ni inside his compound the main gate far from there so do you want people to control what road one uses in his private land?
Muwahi uhuru awaambie kilometers 11k za lami alzowajengea kaweka kwenye folder gani kabla halijachomwa moto na ruto 😁😁😁
 
Back
Top Bottom