Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Masaki hiyo mdogo wangu, toka huko Ukonga uje ule bata siku moja mitaa hii, kuna club moja matata sana hapo juu, kuna jamaa yangu nilimleta hapo someday hakuamini kama yupo Bongo, akigeuka hivi muitaliano, mara kapita manzi wa kispanish, mara mchina mara Mjerumani, wahindi na waarabu ndio usiseme, bila kusahau ndugu zetu wa Kaskazini wanaokuja kushangaa bahari, a perfect picture of Tourists City, The Might Dar es Salaam.
Hiki kiwanja ni kikali si kwa mchanganyiko wa hizo races,lakini huhitaji hela ya mawazo lazima mfuko uwe umechangamka lasivyo utaonekana mpenzi mtazamaji [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakenya wakati tukiendelea na mchakato wa kuwawekea Rais[emoji23][emoji23][emoji23]karibuni muangalie East Africa Derby Simba na Yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba wameshachafua hali ya hewa huku Jangwani dk 15 nyavu zimetikiswa.
 
Dah..

Nikipata hela nitaenda hapo.

Tushazoea kukaa kwenye makreti Kwa mangi hadi vitu vizuri hatuvioni.

[emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah..

Nikipata hela nitaenda hapo.

Tushazoea kukaa kwenye makreti Kwa mangi hadi vitu vizuri hatuvioni.

[emoji1787][emoji1787]

Mbele kidogo kuna hiki kiwanja Pia, Jengo linaitwa The Luminary, kuna kiwanja kinaitwa Papparoti zamani Rhapsody’s kabla hawajahamia pale Pearl Galaria oysterbay

IMG_0848.jpg

IMG_0841.jpg

IMG_0842.jpg

IMG_0845.jpg

IMG_0846.jpg

IMG_0847.jpg

IMG_0843.jpg
 
Attachments

  • IMG_0844.jpg
    IMG_0844.jpg
    77.2 KB · Views: 25
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waendesha subaru wanadharaulika sana mjini, Wanaonekana wahunii na wana kelele sana. Sio maneno yangu .
Umeona eeeh ntahamia kwenye audi sasa[emoji2][emoji2][emoji1787]
 
Hiki kiwanja ni kikali si kwa mchanganyiko wa hizo races,lakini huhitaji hela ya mawazo lazima mfuko uwe umechangamka lasivyo utaonekana mpenzi mtazamaji [emoji3][emoji3][emoji3]
Kawaida, kama hadi Wakenya wanamudu mbongo yoyote aliye kwenye uzi huu anaweza pia kumudu😅😅 au kama vipi unaweza kuchill hapo Bean There ukasip coffee taratiiibu huku unapitia uzi wetu pendwa.
 
Mbele kidogo kuna hiki kiwanja Pia, Jengo linaitwa The Luminary, kuna kiwanja kinaitwa Papparoti zamani Rhapsody’s kabla hawajahamia pale Pearl Galaria oysterbay

View attachment 2323191
View attachment 2323192
View attachment 2323193
View attachment 2323194
View attachment 2323195
View attachment 2323196
View attachment 2323197
Safi mkuu, nimekusoma.

Nimevutiwa zaidi na duka la duty free hapo nijichukulie mambo yangu..

Kipindi kidogo pale one touch.. Kulikuwa na duka na duty free along kilima genye nilikuwa nachukua hard likaa sana.. Sijui Hilo la hapo wanahitaji credentials kuzama au vipi?
 
Lazima wasajili kitambulisho chako cha Diplomat, Unaweza azima kwa Masela [emoji41][emoji3581] . Tafuta masela wanaondesha magari yenye namba kama hizi Txx CD xxx [emoji23] mfano:
T 759 CD 570
 
Back
Top Bottom