Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kiswahili hiki na wewe unajiita mtanzania? Labda mtanzania wa machakos[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa sijakistukia hiki kilugha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hii dhana huko mbeleni haina afya kuna ambao hawatakubali kuongozwa kifalme.
 
Wacha uongo, ujerumani na Israel wanaunda coalition baada ya uchaguzi pale ambapo Chama kilichoshinda hakijapata viti vingi ili kuunda serikali. Kwa maneno mengine Kenya mnaunda coalition ili kutafuta kura wakati Ujerumani ni baada ya kura

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Why TV stations have different out come if 99% of the presidential results were out?. This is very dengarous if the Final results won't go the same direction to meet expectations of political divides as per their favorite TV station results

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kabla ya serikali kuhamia Dodoma ofisi ya VP wenu ilikuwa wapi?
Ni swali zuri. Sina uhakika kama alikuwa anafanyia hapo au ilikuwa ni baadhi ya Ofisi za Wizara ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.

Maana hilo jengo lilitumika na watu wa Wizara ya Nishati na Madini kabla hazijatenganishwa.

So nisidanganye hapa before ofisi yake ilikuwa wapi sijui. Uwenda alikuwa na ofisi nyingine maana ukiangalia ofisi ya PM ni nzuri na ya hadhi kuliko hilo jengo.
 
Unamjua Jecha ama unamsikia tuu kwenye bomba? Jecha awe observer [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jecha ana cheo gani kwani kwenye mambo yetu haya siasa(matokeo ya uchaguzi) mkuu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
South Afrika wangapi wamekufa kwa njaa?, Lini wamepokea chakula cha msaada?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
kisha mmezoea kudefend mandugu zenu wadhati, eti hawana njaa......!

hawana njaa kivipi, ilhali 35% of southafricans go hungry evryday.!?

🤔🤔 heb check maneno👇🏽







nb:
Southafrica is dryer than Kenya, hence hunger and drought should not come in as a shocker.!
 
Kama ingekua vice versa kunyaland ingelipuka yote mpaka TV stations zao na Rais angetangaza state of emergency that kunyaland is control Tanzania's election
Kwenye ukanda huu nchi zote marais tumewaweka sisi madarakani ilikua kasoro kunyaland tu,this time tunawawekea rais na wao kumbafu
 
Kama hataelewa hapa basi tutamuacha aamini atakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…