joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwani standards za Dunia zinasema mwisho rais anapaswa kupata asilimia ngapi ya kura?[emoji23][emoji23].Umechange gear hewani [emoji2][emoji2][emoji2]
Ya Magu kupata 84% ya kura na 90% ya wabunge hutaki tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Huko kwenu ofisi za makamu wa rais ni ngapi?.Kujichangamsha kivipi wakati jengo lenyewe limeandikwa hivyo?
@Tony254Kunyaland bila ujambazi haitoboi
Matiang'i, the most hardworking CS in Kenya used to be called Magufuli wa Kenya[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yule dikteta atamanike Kenya? Kenya ya wapi? Huo ujinga uliisha kipindi cha Moi na wala hatutaman kurudi huko
Nimekuelewa vizuri, kwangu Mimi sioni kiongozi Bora Kati ya hao wawili, bado wakenya hamchagua viongozi kwa kuangalia utendaji wake wa kazi, ninyi bado mnaangalia "personality & Ethnicity", Kama mlivyowachagua Uhuru na Rutto, ndivyo mnavyowachagua Raila na Rutto.joto la jiwe Nimesema hapa mara nyingi kwamba ikiwa mtu fulani atashika usukani basi uchumi wa Kenya utakuwa mashakani. Ni maoni yangu tu. Battle hii haitakuwa na ladha tena kwangu. Itabidi niitazame hii battle kwa mbali bila michango mingi.
The best 007 natumai umenielewa sasa nilikuwa nazungumzia kitu gani.
Cc Geza Ulole.
Uhehehe hii picha ya mwaka gani kwanza 😂😂😂😂😂 nimecheka sana na sasa nimeamini tanzania inawanyima usingiziUnafikiri hii Tanzania yenu hatuijui?
View attachment 2322324
Kwa kazi kubwa alioifanya ilikua ni halali apate hata zaidi ya hio 😂😂😂 tatizo lenu kila siku hua nawaambia siasa za tanzania hamuziwezi hata chembe nyinyu mumeZoea siasa za ukabila sasa munafkiri kila kona ya dunia kuna ukabilaUmechange gear hewani 😃😃😃
Ya Magu kupata 84% ya kura na 90% ya wabunge hutaki tena 😂😂😂
Ndio maana nikamuuliza new world orders imeanza kufanya kazi kwao😂😂Kaunti mzima ni wanamama tu! Hili eneo si rafiki kwa wale wenye unyanyasaji wa kijinsia, hapa unanyong'wa mchana kweupee! Mbele ya umma
😂😂😂😂😂😂😂Yule dikteta atamanike Kenya? Kenya ya wapi? Huo ujinga uliisha kipindi cha Moi na wala hatutaman kurudi huko
Unaweza kuniambia ubaya wa hilo jengo?Unafikiri hii Tanzania yenu hatuijui?
View attachment 2322324
Hehehehe uliwapiga na vitu vizito sana, natumai hawatothubutu tena kutaja ofisi ya makamu wa rais wa Tanzania mana ziko nyingi alafu ni nzuri kuliko Ikulu yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ofis ya makamu wa rais ziko nyingi na tena maeneo tofaut tofaut hii hapa moja wapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2322298
Nyie bado sn kwenye hilo eneo, mna mengi ya kujifunza kutoka Tanzania, huku Rais mwanamke, Spika wa bunge pia mwanamke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanawake wamechukua uongozi wa Nakuru county. So encouraging. Our politics is becoming of age
Wewe ni taahira na unabisha jambo genuine na lililowazi kwa sababu tuu una chuki binafsi na Rais Samia nothing else..🤣 Wacha kuwa zuzu we jamaa, kwahyo kukubali kuongozwa na mwanamke ndio ustaarabu.?
Kwa kiswahili hiki na wewe unajiita mtanzania? Labda mtanzania wa machakos[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikipiga flashback ya nairobi ile ya mwaka 2006 nilikuwa nikipiga na bus Taofiq( falcon) ya sasa isebania-malindi dishes-namanga tukifika asubuhi, nNairobi ya kipindi hicho 2006! Kama ilikuwa vile! Sijui kwa sasa nitailinganisha na jiji gani hapa africa, labda kempton city SA. Wenzetu hawa walituacha kitambo. Flyovers kwao zilianza wayback!