Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama mmeshindwa kufanya kazi si tutawafanyia? We are hustlers.
Sisi huku ni kama waarabu wao wanayo mafuta hawafanyi kazi Wazungu, Asians na Africans ndio wanaofanya kazi kule. Hapa sisi tuna chakula hatufanyi kazi Kenyans and rest of Africans wanatufanyia kazi wapeleke Remittances kwao kwenye shida ya chakula.
 
Imagine hiyo ni slum na ina nafuu kuliko hii middle class yenu. 🤣 🤣

harbor-slums-dar-es-salaam-tanzania-september-90690013.jpg
1230
Moja ni mabanda ya samaki ya enzi hizo nyingine ni history sababu zilishabomolewa
 
Kuna project inaendelea ya kubadilisha hili bonde la mto Msimbazi na kuwa makazi bora zaidi, siku ikisha haitakuwa na muonekano huu.

Serikali fanyeni hima hima tunachekwa huku kuona ni kuamini miradi ikikaa sana kwenye makaratasi unakuwa uzushi na ubabaishaji.

Project inaitwa MODERN CITY PARK AT MSIMBAZI.
Hela imeshatoka mkuu walisema kabla ya mwisho wa mwaka kazi itaanza.
 
Moja ni mabanda ya samaki ya enzi hizo nyingine ni history sababu zilishabomolewa
Apitie hapa project inaanza soon hela ipo tayari.


Project to control floods in Dar to start in July

30-04-2022 | 15:13

Project to control floods in Dar to start in July

Africa-Press – Tanzania. THE project to construct banks along the Msimbazi River in Dar es Salaam is expected to kick off in July this year, Parliament has been told.
Deputy Minister in the Vice-President’s Office, Union and Environment Khamis Hamza told Parliamentarians that right now, the government is conducting an assessment for compensation to be paid to those who will vacate their premises to pave the way for the project.
The project will be jointly implemented by the government and the World Bank through Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP).
The project is meant to provide long lasting solutions to regular floods in Dar es Salaam sections of Ilala and Kinondoni districts during rainy seasons, said the deputy minister.
Mr Hamza was responding to a question from Special Seats MP, Agness Lambert who sought to know when the project would kick off.
In April last year, the government said a total of 120 million US dollars (equivalent to 277.23bn/-) had been set aside to address challenges of the overflowing of Msimbazi River in Dar es Salaam.
The Deputy Minister of State in the Vice-President Office (Union and Environment), told lawmakers in the parliament that the United Kingdom Department for International Development (DFID) had already released 20 million US dollars for the project.
The deputy minister gave the explanation when he was responding to Kinondoni MP Abbas Tarimba who sought to know when the government would start construction of the Msimbazi River as stipulated in the ruling CCM’s election manifesto (2020-2025).
He also said that the World Bank (WB), through Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP), has agreed to boost the project with a loan amounting to 100 million US dollars.
According to him, the government has planned to transform the Msimbazi River basin into an investment area with various opportunities.
 
Sisi huku ni kama waarabu wao wanayo mafuta hawafanyi kazi Wazungu, Asians na Africans ndio wanaofanya kazi kule. Hapa sisi tuna chakula hatufanyi kazi Kenyans and rest of Africans wanatufanyia kazi wapeleke Remittances kwao kwenye shida ya chakula.
Usijilinganishe na Waarabu wewe. Hivi hizo Uswazi zenu ulinganishe na haya majiji? Fanyeni kazi wacheni kuishi in delusions.
bbf8aa0b-city-9457-164d6a9147e.jpg
55670301_303.jpg
Dubai-United-Arab-Emirates-Burj-Khalifa-top.jpg
 
Hadi google inasaidi to count Kenya elections hehe just type
kenya general elections live the results zitakuja matching the iebc progress bar
 
Back
Top Bottom