Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Nyinyi malazy mnangoja kufanyiwa kila kitu na serikali. Is that the reason jiji lenu limetekwa nyara na uswazi? Yani serikali ikujengee nyumba na wasipofanya hivyo utaendelea tu na maisha ya uswazi!!! So funnyKwani yale magorofa mapya ya magometi kota ilikuaje.?
