Hivi ninyi wakenya mnaposambaza chuki dhidi ya watanzania mbona hakuna watu wanaosema mnajivunjia heshima?
1)Mlisambaza chuki dhidi ya Tanzania katika kipindi cha Corona, mlijitahidi kuhakikisha Tanzania inatengwa na Dunia, mlifikia hatua ya kuzuia ndege toka Tanzania kutua Kenya.
2) Wakati wa uchaguzi Tanzania, mliungana na watu waliosema uchaguzi haukua wa huru na haki, tofauti na ripoti za waangalizi wa uchaguzi
3)Sakata la yule dada wa Nigeria kule Zanzibar mlianzisha kampeni ya kushawishi Dunia kwamba Zanzibar sio salama ili watalii waogope
4)Mnajua mlilofanya kwenye Sakata la Ngorongorio na Loliondo.
Kwahiyo ninyi mnavyotufanyia haya yote kwenu mnadhani ni sahihi?.
The best 007 endelea kuandika vile unavyojisikia, hawa jamaa ni washenzi hawana ustaarabu wowote, Mimi binafsi ninazidi kumuomba Mungu hawa wanyama wachinjane.
Mlichagua tuishi maisha ya uadui, kwahiyo msilalamike
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app