7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,066
Ndio maana wanakuchukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm nawatakia kila la heri Wakenya katika kupigania nchi yao, Wakenya msikubali nchi yenu iwe mali ya kabila fulani fulani. Nna imani hamtaacha uchaguzi uishe hivi hivi tu.