NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,625
Kati ya Mkenya na Mbongo nani atachukulia utani serious? Usinichekeshe bro.🤣🤣Utani tu sema kunyan kila kitu mnachukulia serous sana na ndio maana humu mitandaoni kutwa ni mizozano na mataifa mengine,tena mnawaonea sana waganda mkija kwetu battle tunalibadilisha kwa kiswahili mpaka mnaomba poo,by the way watanzania tuna ndugu na marafiki wengi wakenya tunaanzaje kuwachukia,sema nyie chuki zenu ukabila zilizopandikizwa toka wadogo ndio hizo zinazowatesa
Kituo kimesimama sanaAngalia comment za wanigeria awaamini kama kama hii police station ni TZ,hapa ingekua jirani zetu wa north wangeponda tuView attachment 2320017View attachment 2320018View attachment 2320019View attachment 2320020
Wakenya mpo serious sn na hyo ndiyo culture yenu, ndivyo mlivyoumbwa na ndivyo mlivyolithi toka kwa mabibi na mababu zenu, ukiingiza utani kdg tu mkenya anakasirika, ugumu wa maisha unafanya muwe serious mda wote huku mkiwa mmekunja sura.Kati ya Mkenya na Mbongo nani atachukulia utani serious? Usinichekeshe bro.[emoji1787][emoji1787]
DAWASA sasa hiv
Leta ushahidi wacha ujinga, kwanini Qatar wajiandikishe lakini walioko US wasijiandikishe?. Ukweli ni kwamba Qatar ndiyo Kuna wakenya wengi kuliko US, kwa mujibu wa wapiga kuraDiaspora kubwa ya Kenya sio Qatar, ni US. Ila hao wa US hawajajiandikisha kwa wingi kupiga kura ila US ndio nchi yenye population kubwa zaidi ya Wakenya kushinda nchi nyingine yoyote duniani.
Thanks!!Hiyo ni thread, ingia kwenye hiyo thread gusa tu hapo uta download video.
Ndio maana mwendo wetu ni wa kinyonga kwenye maendeleo, anayeingia hataki kumuachia mwingine.Siasa za Africa ni zile zile zimetofautiana rangi tu.
Refer Jk na swahiba wake EL.
Punguzeni ukabila ninyi wapumbavu[emoji23][emoji23]Mbona unatukana kabila nzima ya watu "mbwa"?
Hatuwezi kuwatakia mema watu wajinga, wapumbavu, na wenye wivu kama ninyi[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unadhani Watanzania wanaitakia Kenya mema? Kwani hujui Watanzania ndani ya hii forum wana roho mbaya na Kenya?
Una ujinga sana. Idadi ya wapiga kura haina uhusiano na idadi ya watu wanaoishi katika nchi fulani.Let ushahidi wacha ujinga, kwanini Qatar wajiandikishe lakini walioko US wasijiandikishe?. Ukweli ni kwamba Qatar ndiyo Kuna wakenya wengi kuliko US, kwa mujibu wa wapiga kura
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Shida yetu tunaona tunafanya utani kumbe tunawagusa sana.Utani wenye ukweli ndani yake huwa unauma sana [emoji4][emoji4]Wakenya mpo serious sn na hyo ndiyo culture yenu, ndivyo mlivyoumbwa na ndivyo mlivyolithi toka kwa mabibi na mababu zenu, ukiingiza utani kdg tu mkenya anakasirika, ugumu wa maisha unafanya muwe serious mda wote huku mkiwa mmekunja sura.
Mbona video yake haipo?[emoji849][emoji849]
Hivi mnapoamua kutukandamiza katika Mambo yasiyowahusu Kama suala la Covid, Ngorongorio na Loliondo na lile la Mnigeria kule Zanzibara, mlitegemea tuwapende na kuwachekea?Wewe pengine ndio huna roho mbaya na Kenya. Ila hawa watu wana roho mbaya na Kenya. Watashangilia sana ikiwa Kenya itafeli kabisa. Geza Ulole, joto la jiwe na The best 007
Hivi huu upumbavu wako bado haujakwisha?, Kati ya miradi ya serikali na miradi ya watu binafsi ni ipi yenye faida kwa nchi na wananchi wa kawaida?, Serikali yenu ni dhahifu Sana ndio sababu imewekwa mikononi mwa matajiri, matapeli na familia chache za wanasiasa. Hovyo Sana ninyi.Ukiona skyscraper lolote Tanzania ujuwe limejengwa na serikali. Private sector ya Tanzania ni useless haiwezi kujenga skyscraper hata moja. Nchi yenu bado ya ujamaa sana, mnaitegemea serikali kwa kila kitu.
Kwahiyo unafurahia serikali yenu kushindwa kujenga majumba ili kuwapangisha wananchi kwa Bei nafuu badala yake unataka watu binafsi ndio wajenge ili kuwaumiza wananchi kwa kuwapangisha kwa Bei kubwa?Hio skyscraper is owned by a PRIVATE Chinese company. Kwa hivyo hio ni mali ya private sector. Haijajengwa na serikali ya Kenya wala serikali ya China.
Kwahiyo kichwa chako ndicho chenye kujua uhusiano wa idadi ya raia wa nchi Fulani, sivyo?. Hivi hujui chaguzi Kama hizo pia zinatumika kupata "rough picture" ya idadi ya watu katika maeneo au mijini. Sasa wewe umetumia nini kujua kwamba USA ndiko kuliko na wakenya wengi kushinda Qatar?Una ujinga sana. Idadi ya wapiga kura haina uhusiano na idadi ya watu wanaoishi katika nchi fulani.
Hivi huu upumbavu wako bado haujakwisha?, Kati ya miradi ya serikali na miradi ya watu binafsi ni ipi yenye faida kwa nchi na wananchi wa kawaida?, Serikali yenu ni dhahifu Sana ndio sababu imewekwa mikononi mwa matajiri, matapeli na familia chache za wanasiasa. Hovyo Sana ninyi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app