Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣 Kwa haya magorofa ya udongo.?
and by da way, do u knw that the most advanced economy in africa, South Africa, is purely made by udongo!🤔 from capetown to pietermaritzburg, upington to east london. if u didn't knw now u knw.🤔


ata heri sisi 100× coz tunajenga nyumba zetu kwa Well-Dressed-Natural-Quarry-Stones!!!! pia hiki kieleweke!☝🏽

msije mkadhani hapa ni kenya, japo inakaa kenya sana. hapa ni capetown.

Screenshot_20220809-224416_Google.jpg
Screenshot_20220809-224649_Chrome.jpg
Screenshot_20220810-025128_Chrome.jpg



alafu msisahau ile siku mliona mzungu aki serviwa samaki, kwa hizi sahani na vikombe pale nairobi cbd, kisha mkaangulia bonge la kicheko.!😆🤣😁😆😂

mka dai eti, hizo zilitumika bongo miaka ya 70s,
mbona basi bado zinatumika hadi sasa 2022, huku kenya na kule capetown.!!?🤔

my take:
kenya is synonymous to SA in so many ways than tz or nigeria or ghana. ata kuna mnigeria youtuber alisema





Screenshot_20220809-224109_Chrome.jpg
Screenshot_20220809-224222_Chrome.jpg
 
and by da way, do u knw that the most advanced economy in africa, South Africa, is purely made by udongo!🤔 from capetown to pietermaritzburg, upington to east london. if u didn't knw now u knw.🤔

msije mkadhani hapa ni kenya, japo inakaa kenya sana. hapa ni capetown.

View attachment 2319521View attachment 2319522View attachment 2319523


alafu msisahau ile siku mliona mzungu aki serviwa na hizi sahani na vikombe. mlicheja sana!😆 mka dai eti, hizo zilitumika bongo miaka ya 70s, mbona bado zinatumika hadi sasa 2022, huku kenya na kule capetown.!!?🤔
View attachment 2319524View attachment 2319525
hiyo ni porcelain si bati kama zenyu!
 
hiyo ni porcelain si bati kama zenyu!
ila nime kudaka mzee....😂😂😆

haya toa tofauti ya hiki kikombe in capetown, na hiki changu natumia hapa eldoret

eti porcelain!.🤣🤣🤣 sijui Tony254 ako wapi aone hii..🤣

saa zingine kubali tu matokeo jinsi yalivyo, sio kupinga tu kila wakati. hii tabia inakera mno. na yaonekana hii ni tabia halisi ya wabongo wote humu, kasoro tuusan, 7seven na Walker255, inakera sana aisee..


Cape Town👇🏽

Screenshot_20220809-232038_Gallery.jpg
Screenshot_20220809-232100_Gallery.jpg






in Eldoret rightnow👇🏽
Screenshot_20220810-001308_Photos.jpg
 
ila nime kudaka mzee....

haya toa tofauti ya hiki kikombe in capetown, na hiki changu natumia hapa kenya

eti porcelain!. sijui Tony254 ako wapi aone hii..

saa zingine kubali tu matokeo jinsi yalivyo, sio kupinga tu kila wakati. hii tabia inakera mno. na yaonekana hii ni tabia halisi ya wabongo wote humu kasoro tuusan, 7seven na Walker255, inakera sana aisee..


Cape Town

View attachment 2319564View attachment 2319565





am currently in Eldoret rightnowView attachment 2319562
Wanywa mataputapu utawajua tuu
 
*'

Kitu kimoja tunachotakiwa kufanya kama africa ni kuungana na kuwa na maamuzi ya pamoja, divide and rule inatutesa sana.
Mfano kwa pamoja tunasema sisi tutanunua mafuta ya mrusi, unafikiri sanctions ya bara lote la africa itawezekana kirahisi.
Chakula tulime sisi bei watupangie wao
Kwanza inabidi kupatikane itikadi moja itakayounganisha nchi zote. China walikuwa na matatizo haya haya tuliyonayo leo, lakini Mao alipokuja aliamua kuwaunganisha wote kwa mkono wa chuma. Na sisi Inabidi tuwe na sheria kali za kuwaondoa wote wanaokwenda kinyume na itikadi bila kucheka na kima.
 
Back
Top Bottom