Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nje ya mada kidogo. Hivi umewahi kusoma au kusikia kisa cha Ngoswe? Kitabu chake kinaitwa Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe by Edwin Semzaba. Kisa chake kinahusiana na mambo ya sensa, kama bado kisome tafadhali ufurahishe moyo wako.
 
Mambo ya sensa?
 
Ila dah! Mzee unapenda sana mazingira nimegundua ni kitu kiko damuni, ndio hivyo tena nani atatupangia kwa usafi na mpingilio wa kuvutia kama huu kwenye nchi zetu?
 
Watakwambia hatuna pesa sasa hivi tuna miradi mingi tunaikamilisha. Hakuna kuwaza nje ya hapo.
 
Nje ya mada kidogo. Hivi umewahi kusoma au kusikia kisa cha Ngoswe? Kitabu chake kinaitwa Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe by Edwin Semzaba. Kisa chake kinahusiana na mambo ya sensa, kama bado kisome tafadhali ufurahishe moyo wako.
Bado sijakisoma. Nitakitafuta.
 
Makupa Causeway 8 lane bridge inafanya Dar-is-a-scam ikae kijiji cha uvuvi mbele ya Mombasa. Hadi picha wadanganyika hawaamini Mombasa imechapa Dar
 
Waziri wa ardhi amepiga marufuku viwanja vya 20/20, hivi navyo ni shida sana ndio vinapelekea miji kuwa na uswahili wa kuchoka. Je amri yake itatekelezeka?
 
Hakuna kwa vile utotoaji si GMO kama ulivyodai! Usigeuze topic jibu swali langu la utotoaji wa vifaranga na GMO! Ukiwa hujui kitu nyamaza na si kudai utotoaji wa vifaranga ni GMO! Wacha kupotosha!
Kwani GMO ni nini Kama sio "branch of Genetics?" au unadhani GMO ni Geography, Mathematics au Physics?, Hili ni eneo langu la kujidai usinijaribu utapata matatizo [emoji23][emoji23][emoji23]

Utotoaji wa vifaranga unafanyika kwa kufanya "selection of genes from different chickens and cross breed them in order to get desired types of chicken". Key words are "selection of genes" GMO also works by selecting genes and changes genetic material of an organism/plants in order to get desired types of plants. Hope you understand better now.

Lengo ni Moja Kati ya kile kinachofanyika katika kufanya cross breeding katika kuzalisha vifaranga wa kisasa na katika mimea ambako huzalisha mazao ya GMOs.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846],sifia tu moja kwa moja acha kuzunguka mzee [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…