Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kusema kweli hiyo kazi ni ngumu sana . Hongera zao makamanda
 
Hii zaidi ya dharau 😅😅 huyu mwamba sijui wamemuokota wapi daah ila maisha duniani hapa hayana mwenyewe
 
Kawaida, kwa wastani birth rate huwa ni kubwa kuliko death rate, cha kushangaza kuanzia 2020 mpaka leo takwimu zinaonesha mortality rate imekuwa kubwa kuliko natality rate ila mainstream media na hiyo WHO yako unayoiabudu hawataki kuliongelea hili. Hasa ukizingatia hicho ndicho kipindi watu wamepigwa chanjo. Unaweza kulielezea hili bila kuhusisha chanjo?

Hiki unachozungumza ni kitu gani?, Punguza kusoma vitu ambavyo huna utaalamu navyo utabaki kuwa ni kichekesho.

Ni nchi gani hiyo ambayo mortality rate ni kubwa kuliko birth rate duniani, tutajie tafadhali ili tuingie google tujisomee tuone.

Tatizo Moja ambalo upo nalo ni kutaka kujadili maeneo ambayo hukuyasomea badala yake unabaki kuokoteza maandishi na vijarida mitandaoni

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bakhresa kawekeza Fumba town tunahitaji wawekezaji wa calibre hiyo kwenye real estate hapa Tz.
 
NHC na TBA tatizo lao sio wabunifu halafu hata design za nyumba zao ni za kipuuzi sababu kila mtu anataka kula hapohapo mwisho wa siku unapata poor product lakini yenye gharama kubwa. Private sector inabidi wahamasishwe kwenye kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba alongside mashirika ya serikali
 
Can you please support your point from scientific researched results which have been accepted and approved by UN bodies?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tafadhali naomba unielezee uzuri wa GMO kama hutojali.
Mkuu, lengo kubwa la GMO ni kuwa na mimea inayohimili magonjwa na yenye kutoa mazao mengi zaidi na kwa muda mfupi.

Hivi Sasa hali ya rutuba imepungua Sana, wadudu wanaoshambulia mazao wamekua wengi na wamejenga usugu kwa dawa nyingi zinazotumika za kuulia wadudu mashambani, na ukame pia umeongezeka Sana.

Mimea hii ya asili inashindwa kuhimili mabadiliko haya ya kimazingira yanayobadilika kwa Kasi Sana, ni muhimu na lazima hiyo mimea na wanyama kubadilika ili kueandana na mabadiliko hayo.

Genetic Engineering inajaribu kuweka au kuondoa sehemu ya Genetic materials ambayo inaonekana kuwepo kwake au kukosekana kwake ndio kunasababisha huo mmea au mnyama kushindwa kupambana na mabadiliko hayo.

Mfano mzuri katika maisha ya binadamu ni Ugonjwa wa "sickle cell", huu Ugonjwa unatokana na kuwepo na "protein" Moja kwenye DNA za watu wenye tatizo la Ugonjwa huo. Hivi Sasa Kuna majaribio yanafanyika kwa kutumia "Genetic Engineering" ili kuiondoa hiyo "protein" na kuweka protein sahihi ili huu Ugonjwa upotee kabisa duniani. Au ugonjwa wa "Albinism" ambao unatokana na kukosekana kwa "gene ya melanin" tafiti zinafanyika ili kupandikiza gene ya melanin ili miaka ijayo, kusiwepo na Albino duniani, hapo tatizo la GMO lipo wapi Kama tutapata binadamu wazima bila magonjwa ya kurithi?.

Kwa kifupi, GMO ni kupata viumbe Bora zaidi kwa kubadilisha "weak genes na kuweka "strong genes" kwa kutumia Elimu ya "Genetic Engineering"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Si wakati wote GMOs zinatumika with bioethics in mind! Mfano chukulia makampuni ya Mosanto yanapita forests zote duniani in the name of bio-research only kuishia ku-patent indigenous seeds! Biotheft!!

Halafu wanafanya genetic modification kutoruhusu mbegu kutumika kupanda zaidi ya mara moja! Pia hata aina ya mbolea na pesticide zinazoendana na mbegu!

Unajua madhara yake? Ku-control global seed business na pia kufanya poor countries kuwa dependent kwao maana ruhusa ya kuzalisha mbegu kwa njia ya asili huna kwa vile wame-patent native seeds from respective countries!

Matokeo yake tunabaki kununua GMO seeds zilizo sokoni kila msimu! Seeds should not be commercialized! Tanzania should maintain her own native seeds bank kama Bashe anavyofanya na GMOs seeds kwa vyakula vya binadamu na wanyama ziendelee kuzuiwa.

Mbona hujiulizi Kenya wanatumia GMO Seeds for many years now na mbona bado wana njaa? Kama bio engineering/modification is a big deal, mbona wana food insecurity na tunawalisha?

Kiutamaduni mababu zetu walikuwa wakigawana au kubadilishana mbegu kila wakitembeleana au kipindi za mavuno kama vile Wazungu wanavyofanya after Xmas on boxing day!

GMO seeds zinaua that fabric in our African traditional! No one has seed banks anymore kama ilivyokuwa enzi hizo kila mji wa mtu ulikuwa na kihenje cha mbegu! Sasa hivi seedco shops ndo vihenje vya mbegu in exchange of money every planting season!

Unfortunately the seeds r selective on kind of nutrients, no more organic fertiliser can be applied to them but a chemical one specified by a seed company.
 

Hiz estate nyingi ni mchango wa private sector: Kenya, South Africa. They look so good, but only a fool doesnt know what it takes to own one. Ni very expensive.

Ni Bora tuendeleze shirika letu la nyumba la Taifa NHC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…