Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
🤣🤣 Hivi kweli kuna mtanzania ataumizwa na hizi dwarf strictures zenye ni out of fashion .. ajabu kweli.. Bongo hii hii enye inajenga 3.2 km over water cable stayed bridge enye 6 lanes iumizwe kichwa na hako ka bridge.? Kweli.? Ka mita kadhaaUmeumia mjukuu.., hapa ni Makupa bridge!.., wakati Uhuru ana launch, hauni tent pale kati kati? hii imewauma kama vile expressway, nilisema na bado, mtalia zaidi siku zikiendelea., 8 LANES!🔥🔥🔥🔥🔥 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2315040
View attachment 2315042