Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado ukweli unabakia pale pale 8 lanes Tanzania 0!
Mateso ni yale yale Bro 🤣🤣🤣 ni kama hamjafanya chochote level za makupa outdated kinda bridge hizi hapa 👇
daraja(0).JPG
8D6U3364.JPG
magufuli bridge 👇
Magufuli bridge(1).jpeg
KIROMBERO-1140x640.jpg
tho haya ni Madaraja marefu kuliko huo upuuzi wa makupa... Kufikia levels hizi 👇
FMcBhFzXMBALot9.jpg
3.2 km cable stayed bridge labda kwa vizazi vitano vijavyo hapo kenya...🤣🤣🤣.. sisi ndio wataalamu wa hizi kazi ukanda huu, no comparison
 
Mateso ni yale yale Bro 🤣🤣🤣 ni kama hamjafanya chochote level za makupa outdated kinda bridge hizi hapa 👇View attachment 2315113View attachment 2315114magufuli bridge 👇View attachment 2315115View attachment 2315116tho haya ni Madaraja marefu kuliko huo upuuzi wa makupa... Kufikia levels hizi 👇View attachment 23151173.2 km cable stayed bridge labda kwa vizazi vitano vijavyo hapo kenya...🤣🤣🤣.. sisi ndio wataalamu wa hizi kazi ukanda huu, no comparison
8 Lanes bridge: Kenya 1 Tanzania 0
 
Ila aisee Tanzania tuna maisha mazuri sana, nikiangalia vitanda vya chuma ambavyo huku ni watu wanaoanzia maisha eti wao ni high class [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hivyo kwa akili yako kitanda cha chuma ni kibaya? Hivi unajua kwamba kuna kitanda cha chuma cha kifahari?
 
Are they moving kilaza?.., on the left, kwani hauoni it was a ceremony.., mbona mnatamani isiwe ni ukweli?.., ni chuki, wivu ama roho mbaya? ni nini huwa inawasumbua nyinyi watanzania? zoea ukweli bana..,
View attachment 2315066
Dont be stupid how can you determine whether a car is moving or not on a picture? Naona shule zenu huwa zinatoa half baked students as you have demonstrated here.
 
Back
Top Bottom