Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How long is it.? Is it modern.? Hatuwezi linganisha apple na fenesi Bro eti kwa kigezo cha ukubwa 🤣, wacha kuwa mpuuzi, usijaribu kutaja hako kadaraja with what we have back home.. kaa kwakutulia
Picha ya 8 lanes bridge from Tanzania, weka hapa, punguza domo doma ya vijiweni., umebanwa hauna pakutokea wewe.., weka hapa 8 lanes from Tanzania, sina haraka ni friday nangoja...., ama fyata.,
 
Picha ya 8 lanes bridge from Tanzania, weka hapa, punguza domo doma ya vijiweni., umebanwa hauna pakutokea wewe.., weka hapa 8 lanes from Tanzania, sina haraka ni friday nangoja...., ama fyata.,
🤣🤣🤣 8 lanes then what .? Ni modern.? Ni refu.? 8 lane kusaidia nini.?
 
One sise was closed wakati magari yako on both sides
Are they moving kilaza?.., on the left, kwani hauoni it was a ceremony.., mbona mnatamani isiwe ni ukweli?.., ni chuki, wivu ama roho mbaya? ni nini huwa inawasumbua nyinyi watanzania? zoea ukweli bana..,
1659702126445.png
 
Hiv wew jamaa Don YF wabongo kila leo wanapita kwenye madaraja marefu, mazuri na ya kisasa kama hivi 👇
360_F_513980335_yKDXKMsPeJspFFhXkdx6HqqisAtMgz0M.jpg
kigamboni-bridge-08-1024x768.jpg
12940749_954058448047433_1583120838_n.jpg
new Tanzanite Bridge 👇
20220625_182118.png
gersonmsigwa_1645453493301621.jpg
moizhusein_1643904808031301.jpg
moizhusein_1643904808031958.jpg
huko duniani kwenyewe hivi vitu sio vya kawaida, ndio nije nistuke kisa makupa outdated kinda bridge alafu tena ni dwarf .? 🤣🤣🤣🤣, heb tutake radhi tafadhali
 
Kuna aina ya daraja inayoitwa 8 lanes bridge.? 🤣🤣🤣 Huna mada mzee kaa kwakutulia
Mbona unapenda kuanika ujinga hivi? yaani nikama niseme kuna aina ya barabara inaitwa 12 lanes road?.., yaani ni heri ufyate, jibu ulikosa kubali songa mbele, ni uchungu, imekukera sana, ila zoea maumivu, leo wewe kesho mimi, ila itakua ndoto kwangu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .,
 
Mbona unapenda kuanika ujinga hivi? yaani nikama niseme kuna aina ya barabara inaitwa 12 lanes road?.., yaani ni heri ufyate, jibu ulikosa kubali songa mbele, ni uchungu, limekukera sana, ila zoea maumivu, leo wewe kesho mimi, ila itakua ndoto kwangu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Inawezekana hata neno "Aina" hujui linamaana gani, kaa kwatulia baba
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Inawezekana hata neno "Aina" hujui linamaana gani, kaa kwatulia baba
8 Lanes bridge: Kenya 1 Tanzania 0..., ama iko?😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
8 Lanes bridge: Kenya 1 Tanzania 0..., ama iko?😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ngoja nikusaidie.. neno "Aina" au kwa kiingereza "types" kwenye aina za Madaraja/types of bridges hatuna type inayoitwa "8 lanes bridge" 🤣🤣🤣🤣 Types za Madaraja ni hizi hapa 👇
Screenshot_20220805-154716_1.jpg
🤣🤣🤣🤣 mzee tuliza tako hilo
 
Ila aisee Tanzania tuna maisha mazuri sana, nikiangalia vitanda vya chuma ambavyo huku ni watu wanaoanzia maisha eti wao ni high class
😁😁😁 Tanzania tunachukulia vitu poa sana

Laiti watu wangepata fursa ya kuona maisha ya mkunya wa kawaida wangetubu 😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom