Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Ni njaa, sijakula mwanangu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Enhh umeanza kupanic sasa nilijua tu lzma uripuke 😂😂😂😂😂
Hizo ni ndoto za mchana, pamoja na kwamba SGR yenu ilikua ya kwanza kujengwa, lakini imekomea njiani, MV Mwanza ni passenger vehicle, it needs fine touches because it is very luxurious ship, lenu Hilo ni hall tupu halihitaji muda mrefu kulijengaKati ya MV UHURU na MV Mwanza gani Ina possibility ya kutoisha? MV Mwanza ilianza kujengwa 2019 na hata Bado haijafika 70%, MV Uhuru ujenzi ulianza last year na tayari inaenda kuanzia kazi mbele ya MV Mwanza.
Kenya there is nor SGR, what you have is an outdated Diesel engine scrapersOur SGR is working for five continuous years without disruptions
Wewe unaona ni wapi?.., hauamini macho yako? hapa ni Dar es Salaam mjukuu, tazama bahari., 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Naona hiyo bridge ishaanza kukuchanganya😂😂. Hapo ni Mombasa.
Wewe unaona ni wapi?.., hauamini macho yako? hapa ni Dar es Salaam mjukuu, tazama bahari., 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2314907
Your understanding ndio Iko very poor. That 2030 duration is same as saying it will never materialize.Mbona kigeugeu sasa mara mseme haitakaa ijengwe now mnasema itaisha 2030 huu wivu ni mbaya sana
Is it not a bridge?pedestrian bridge!
This time round since tuumbue propaganda zao wako down sana, they lack worthy response.., tumewanyorosha, instead of responding from Tanzania wanatafuta picha za Kenya, siku hizi uongo imewashinda, tunaumbua haraka, wataanza kulaumu Samia Suluhu Hassan😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Tumewaambia watuletee bridge yoyote Dar with 8 lanes na wameshindwa.
From now henceforth you need to know that MV Uhuru II ndio the biggest in Lake Victoria followed by MV Kabaka Mutebi from Uganda. The third biggest is MV Uhuru I.Hizo ni ndoto za mchana, pamoja na kwamba SGR yenu ilikua ya kwanza kujengwa, lakini imekomea njiani, MV Mwanza ni passenger vehicle, it needs fine touches because it is very luxurious ship, lenu Hilo ni hall tupu halihitaji muda mrefu kulijenga
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app