Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya ndio maisha sasa, vijana wengi wanapenda maisha ya kuishi mjini katikati....
Haya maisha ya sis ako ni super sana...nyumba nzuri eneo analo kubwa anafuga na shamba la kizushi mbogamboga hazisumbui...Mjini nyumba kama iyo kupanga utaambiwa laki6 hadi 1M tsh
am still echoing the sentiments of this my bro here tuusan 🙏🏽
 
Wewe unaona ni wapi?.., hauamini macho yako? hapa ni Dar es Salaam mjukuu, tazama bahari., 😂 😂 😂 😂 😂 😂

View attachment 2314907

Hiyo ni outdated facility bro, ni aibu kujenga vitu vilivyopitwa na wakati Alaf uposti humu kwa majigambo.. kwa nchi kama Tz yenye iko na kila aina ya daraja. Ficha aibu zenu
 
8 lane ziko wapi hapa, unajua nyinyi Wakenya ni wasenge sn, haya saidiana na wenzako mniambie 8 lane ziko wapi na tangu lini mnapishania kulia na kwnn mnakuwa waongo waongo View attachment 2314995View attachment 2314996View attachment 2314997
Mbona maumivu na iko wazi sana? ni kazi ya Uhuru Kenyatta, kamwana ame deliver! sio makosa yetu, zoea 8 lanes road (bridge) outside Nairobi.., Mombasa city, size ya Dar., 😂 😂 😂 😂 😂
1659698453911.png

1659698002373.png

Wakati inajengwa.., unaona hiyo ni size ya ile foot path yenu?😂😂😂😂😂😂
1659698629242.png
 
Hiyo ni outdated facility bro, ni aibu kujenga vitu vilivyopitwa na wakati Alaf uposti humu kwa majigambo.. kwa nchi kama Tz yenye iko na kila aina ya daraja. Ficha aibu zenu
#8lanes., usibadilishe argument, zoea 8 lanes bridge.., kama mnayo Tz weka hapa tuone😂😂😂😂😂😂
 
Nakupa lisaa lizima na huwezi kupata jibu, mwenzako kaweka video ya makupa jua kali footbridge iko tofauti kabisa na hiyo bridge ya watu, ww utaniambia nini wewe
Nimerudi. Sasa nina muda. Video gani hio unazungumzia? Mambo ya kupishana kulia au kushoto huwezi kujua kwa kuangalia aerial view.
 
Wakuuu mmeona hawa wasenge walivyo waongo? Angalieni kuna gari inafanana na gari za Mombasa hapa? Angalieni gari za Mombasa picha ya juu alafu angalieni hizi gari zinazopishana kulia hiyo picha ya chini mpate jibu.View attachment 2315010View attachment 2315011
Tukikuambia hapa ni Kenya unabwatuka tu. Tukikuambia rais Uhuru ndio kazindua 8 lane bridge jana unapinga. Sasa natumai unaweza kuona tent ambayo ilihost sherehe ya uzinduzi jana. Unaona hio tent ya white sio?
Screenshot_20220805-142903.jpg
 
yeah, this should not come as a suprize, for an average kenyan like my sister and all of us here in this thread to live like this..
bearing in mind that my sister is just a pharmacist at Moi Refferal Hosp in eldoret, and her husband a local businessman within eldoret town.
they must knw tht, they are very average kenyans. a true reflection of how most kenyans live..
they also must note tht our HDI and our per capita income is not their per capita...

we are totaly two different states all together and hence
Haijawahi kutokea nikashangaa na kusikitika kama hivi leo, hivi ni vitu vya kawaida sana hapa Bongo.
 
Wakuuu mmeona hawa wasenge walivyo waongo? Angalieni kuna gari inafanana na gari za Mombasa hapa? Angalieni gari za Mombasa picha ya juu alafu angalieni hizi gari zinazopishana kulia hiyo picha ya chini mpate jibu.View attachment 2315010View attachment 2315011
Umeumia mjukuu.., hapa ni Makupa bridge!.., wakati Uhuru ana launch, hauni tent pale kati kati? hii imewauma kama vile expressway, nilisema na bado, mtalia zaidi siku zikiendelea., 8 LANES!🔥🔥🔥🔥🔥 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1659699311670.png

1659699446817.png
 
Nimeshangaa sana kumbe hii nyumba na thamani zilizomo ndani ni high class?
Angesema nyumba nzuri tungemuelewa, lakini high class basi wako chini mno hawa jamaa.

Tiles na sofa n.k mbona ni vitu vya kawaida.
Kwao ni vitu vya thamani sana hivyo 🤣🤣🤣 naakati bongo hivyo ni katika kila nyumba itakayojengwa na yeyote yule lazima iwe na tiles tena za kisasa
 
Siwezi zungumzia dwarf shit Bro, excuse me
Stay away kabisa, nyambaff😂😂😂😂 kamekosa jibu ya 8 lanes eti dwarf, respect to Mombasa city, kichapo cha mbwa koko😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom