The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Ni vichekesho 😂😂😂😂Kenyan MGR Stations are better than Tanzanian SGR Stations.
This is Kisumu.
View attachment 2311694View attachment 2311695View attachment 2311696
Stop crying, EAC principle secretary is from Kenya, he has accepted the report, Kenya is a failed state.If you took all banks in Tanzania, add all their income combined, you'll still not get to the income Equity or KCB generates alone.
Bongolala has no financial industry to speak of. Pesa ni ya madafu, GDP ni LDC..
It would only take a mad man to rank TZ higher than Kenya, and these mad men who did the analysis ranked even Burundi ahead of Kenya.
That is the joke of the decade.![]()
![]()
![]()
Also, Tanzania already hosts the Headquarters and the parliament. Toshekeni na hizo.
Kumbe wa dutch ni wakenya pia 😂😂😂MV Uhuru. Built in Kenya by Kenyans for Kenyans. Unlike the MV Mwanza which is being built by Chinese.
View attachment 2311783
View attachment 2311787
Mv mwanza hususan ni kwa ajili ya abiria inabeba zaidi y abiria 1200 na 400 tons of cargo uwe unatuliza akili kwanza 😂😂😂MV Mwanza ambayo huwa unatusumbua nayo hapa inabeba only 400 tonnes of cargo. Wakati MV Uhuru I inabeba 1,200 tonnes of cargo na MV Uhuru II inabeba 1,800 tonnes of cargo. Siku nyingine usirudie kupost picha ya MV Mwanza huku.
![]()
Tanzania: MV Mwanza Project Now Reaches 25 Pc
CONSTRUCTION of the state-of-the art ship has now reached 25 per cent, with overall supervisor, Engineer Abel Gwanafyo of Marine Services Company Limited (MSCL) asserting that the modern vessel will be in operation next September.allafrica.com
halafu itabeba malori na magari!Mv mwanza hususan ni kwa ajili ya abiria inabeba zaidi y abiria 1200 na 400 tons of cargo uwe unatuliza akili kwanza 😂😂😂
Ile cku niligundua idadi ya petrol station Kunyaland haikaribii hata kidogo idadi ya petrol station Tz ndio cku niliyojuwa kwamba hatushikiki kabisa kwenye suala la magari.Mara ooh.. Gari chache.. Mara chakavu..
Tanzania imepata award kama mmnunuzi namba moja Afrika.
Eicher kama zote.. Usafiri wa umma wa uhakika. Sio mafuso ya kuchanga. View attachment 2312210
Kwani mtu anayebeba tofali au kushika nyundo site ndiye Engineer?Wajenzi ni Wakenya. Hebu punguza wivu mbovu.
Huwa wanapenda kutuiga kwa kila kitu ndio maana wanaishia kufanya low quality works.hii ni red steel wakati yenyu ni kutu steel!
Mnakaa kama nyie ndio wenye kujenga meli dunia nzima! hebu angalia toka pros!
![]()
![]()
![]()
Kuona ni kuamini, cc Watz tunapenda mambo on ground, picha mbili za juu ni Mv Mwanza, picha ya tatu ni Mv kutuHii meli sio ya kitoto. Inabeba 1,800 tonnes of cargo. It is the biggest cargo ship in lake Victoria. Huo ndio ukweli mchungu kwa Watanzania wasioitakia Kenya mazuri. Ile meli ya Mwanza ambayo huwa unapenda kuisifia inabeba tonnes ngapi za cargo??? Hebu nikumbushe hahaha.







28% of total cargo passing through Mombasa are going to other countries.Show us how many tonnes of goods through Mombasa port go to other countries, 90% of cargo through Mombasa port goes to Nairobi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hizi hapaMV Mwanza ambayo huwa unatusumbua nayo hapa inabeba only 400 tonnes of cargo. Wakati MV Uhuru I inabeba 1,200 tonnes of cargo na MV Uhuru II inabeba 1,800 tonnes of cargo. Siku nyingine usirudie kupost picha ya MV Mwanza huku.
![]()
Tanzania: MV Mwanza Project Now Reaches 25 Pc
CONSTRUCTION of the state-of-the art ship has now reached 25 per cent, with overall supervisor, Engineer Abel Gwanafyo of Marine Services Company Limited (MSCL) asserting that the modern vessel will be in operation next September.allafrica.com










Unaleta article ya 2019 wakati MV UHURU II imeanza kujengwa 2021, is your brain really helping you?😂😂😂Kuona ni kuamini, cc Watz tunapenda mambo on ground, picha mbili za juu ni Mv Mwanza, picha ya tatu ni Mv kutuView attachment 2312362View attachment 2312363View attachment 2312364View attachment 2312366