Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MV Mwanza ambayo huwa unatusumbua nayo hapa inabeba only 400 tonnes of cargo. Wakati MV Uhuru I inabeba 1,200 tonnes of cargo na MV Uhuru II inabeba 1,800 tonnes of cargo. Siku nyingine usirudie kupost picha ya MV Mwanza huku.
Kumbe mv mwanza na the largest in the great lakes region...

Au hio hujasoma

Hebu soma paragraph ya mwisho...

Ulitaka meli ya abiria 1200 ibebe na tani 1200?
Ya mv mwanza inajengwa kurahisisha usafiri kati ya miji mikubwa ya mwanza na bukoba...

Bado kuna mv victoria inayobeba abiria 1200 na tani 200

Bado kuna mv butiama...

Bado kuna mv nyakibolya
Screenshot_20220802-195134.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Rais Uhuru amezindua kampuni ya kutengeneza nguo inayoitwa Dada EPZ huko Kisumu. Kampuni yenyewe tayari imeajiri wafanyikazi 300 on a permanent basis. Nguo zenyewe zinakuwa exported.

FZIPFmuXEAAgree.jpeg
FZIPO1DXkAEmaSp.jpeg
FZIPRi7XgAIu_HE.jpeg

Cc Geza Ulole
 
Kumbe mv mwanza na the largest in the great lakes region...

Au hio hujasoma

Hebu soma paragraph ya mwisho...

Ulitaka meli ya abiria 1200 ibebe na tani 1200?
Ya mv mwanza inajengwa kurahisisha usafiri kati ya miji mikubwa ya mwanza na bukoba...

Bado kuna mv victoria inayobeba abiria 1200 na tani 200

Bado kuna mv butiama...

Bado kuna mv nyakibolya
View attachment 2312267

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wacha upuuzi. MV mwanza inabeba tani 400 ya mizigo na abiria 1200. Hata tuki-assume kwamba kila abiria ana kilo 100 hao abiria 1,200 watakuwa na jumla ya uzito wa 120 tonnes. Kwa hivyo MV Mwanza ina uwezo wa kubeba 520 tonnes pekee. Linganisha hako katoto na MV Uhuru II ambayo ina uwezo wa kubeba 1,800 tonnes yaani mara tatu ya MV Mwanza hata ukijumulisha mizigo na abiria kwa pamoja.

Cc Geza Ulole
 
China itaruka ruka wee kama bisi ila jibu ni moja tuu kutoka Washington 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220802-202053.png
    Screenshot_20220802-202053.png
    41.5 KB · Views: 12
Good 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220802-094847.png
    Screenshot_20220802-094847.png
    130.3 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220802-094914.png
    Screenshot_20220802-094914.png
    45.3 KB · Views: 10
Uchimbaji wa Graphite kuanza 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220802-094353.png
    Screenshot_20220802-094353.png
    108.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220802-094451.png
    Screenshot_20220802-094451.png
    38.9 KB · Views: 11
Wacha upuuzi. MV mwanza inabeba tani 400 ya mizigo na abiria 1200. Hata tuki-assume kwamba kila abiria ana kilo 100 hao abiria 1,200 watakuwa na jumla ya uzito wa 120 tonnes. Kwa hivyo MV Mwanza ina uwezo wa kubeba 520 tonnes pekee. Linganisha hako katoto na MV Uhuru II ambayo ina uwezo wa kubeba 1,800 tonnes yaani mara tatu ya MV Mwanza hata ukijumulisha mizigo na abiria kwa pamoja.

Cc Geza Ulole
Sasa kwani MV Mwanza ni Cargo ship?, Hiyo mainly ni kwa ajili ya abiria, kitu muhimu ni iwe na Kasi zaidi, very luxurious and safety.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom