Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaleta article ya 2019 wakati MV UHURU II imeanza kujengwa 2021, is your brain really helping you?
Hii c picha umeweka leo hii,unaikataa? Ok lete nyingine mana hii ishakutoa kamasi
tapatalk_1557472306_303x540.jpg
Screenshot_20220802-141226.jpg
 
So what's so special? How many MW of power is this dam producing? If it doesn't generate power then it is similar to cow ditch or some any other irrigation scheme! No need for unnecessary noises!
It will provide clean water to close to 1m households and it's not the only such dams we are building. Not every dam is built to generate electricity
 
Mpaka Mama anatoka madarakani Tz itazidi kuisoma namba ni mwendo wa bei juu kupanda hovyo hivyo

Reason:vita vya Russia/ukraine +Coona


Hadi bidhaa tunazozalisha ndani nazo zimepatwa na Corona pia zimevamiwa na vita
 
Wanataka kujichanganya ,waishie kuchezea na mataifa mengine kuna sehemu inabidi aachane nazo kabisa ,dunia ipo speed
Dunia umepiga hatua nyingi mno tena hasa China Iko mbele kwa technology vibaya mno, huenda jamaa wako na technolojia kubwa sana kwenye masuala ya utengenezaji wa silaha na hawajaweka hadharani, US ikijichanganya utapata tabu na mchina
 
Back
Top Bottom