Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,901
- 103,770
Ya Mwai Kibaki Convention Center inavuka mtaro sio?Hio ya Arusha inavuka public road gani? Usiwe mjinga bana. 😂😂😂
Ya Mwai Kibaki Convention Center inavuka mtaro sio?Hio ya Arusha inavuka public road gani? Usiwe mjinga bana. 😂😂😂
That's a sky bridge usiwe mjinga we mzee.Ya Mwai Kibaki Convention Center inavuka mtaro sio?
Yes kwani hukuona au unataka nipost tena.Kwahyo hii enye ulipost inavuka public road sio.?
Tuonyeshe elevator kwenye zile bridges zenye ulipost 🤣🤣🤣Nionyeshe elevator kwa hio soko chafu umepost nifunge account. 😂😂😂
Yes kwani hukuona au unataka nipost tenaKwahyo hii enye ulipost inavuka public road sio.?
Unaona kama GTC inaweza kosa elevators. 😂😂😂 wacha ushamba.Tuonyeshe elevator kwenye zile bridges zenye ulipost 🤣🤣🤣
tunataka elevators dedicated to footbridge si za jengo!Yes kwani hukuona au unataka nipost tena
Unaona kama GTC inaweza kosa elevators. 😂😂😂 wacha ushamba.
We unajielewa.? 🤣🤣🤣, hapa hatuzungumzii elevator ndani ya jengo mzee, hapa tunazungumzia footbridge yenye Iko na elevator yake enyewe ya kujitegemea kama hivi yani 👇Yes kwani hukuona au unataka nipost tena
Unaona kama GTC inaweza kosa elevators. 😂😂😂 wacha ushamba.
Hizi mchaka mchaka siyo poa kwa kweliyaani wakilipuana ni vita ya tatu ya dunia maana the US itabidi a-concentrate na China, Japan ataingilia pia upade wa the US wakati Europe itabidi washughulike na Russia peke yao! Mitaa ya middle east kuna Iran lazma alianzishe na Israel au Saudi Arabia!
Kumbe hata hujui vile GTC imejengwa. 🤣🤣🤣 Ghorofa zikona elevators zake kando. Anagalia hii render hapa utoe ujinga. Wabongo munakuanga washamba sana walai. 🤣🤣🤣tunataka elevators dedicated to footbridge si za jengo!
🤣🤣🤣🤣🤣 Umeshakula kwanza .? Isije ikawa unasumbuliwa na njaaa weweKumbe hata hujui vile GTC imejengwa. 🤣🤣🤣 Ghorofa zikona elevators zake kando. Anagalia hii render hapa utoe ujinga. Wabongo munakuanga washamba sana walai. 🤣🤣🤣
View attachment 2309801
🤣🤣🤣 umekosa comeback na vile ulianza na kiherehere.🤣🤣🤣🤣🤣 Umeshakula kwanza .? Isije ikawa unasumbuliwa na njaaa wewe
onyesha!Kumbe hata hujui vile GTC imejengwa. 🤣🤣🤣 Ghorofa zikona elevators zake kando. Anagalia hii render hapa utoe ujinga. Wabongo munakuanga washamba sana walai. 🤣🤣🤣
View attachment 2309801
Nionyeshe nini tena kwani huna macho. Kuja Nairobi ujionee mwenyewe utoe ushamba.onyesha!
Kuna concrete tu!Nionyeshe nini tena kwani huna macho. Kuja Nairobi ujionee mwenyewe utoe ushamba.
We famba Wacha kulazimishaga vitu wewe, can't you see the difference from these pictures .? 👇🤣🤣🤣 umekosa comeback na vile ulianza na kiherehere.
Wakunya ukiwawekea elevators watafanya choo!We famba Wacha kulazimishaga vitu wewe, can't you see the difference from these pictures .? 👇View attachment 2309813hii bridge ya yenyu haina elevator usifosi 🤣🤣🤣, labda utaonyeshe ona kitu hiki 👇View attachment 2309814footbridges zenu zinakaa hivi tu 👇👇View attachment 2309822🤣🤣🤣🤣 hakuna elevator
kabisaa si poa hata kidogo ndo hasara ya kuwa na Rais kama Biden pale USA!Hizi mchaka mchaka siyo poa kwa kweli