The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Na currency instability yote mliyonayo, cartels, embezzlement, political instability lkn bado unataka EACB iwe Kenya.Huu ni upuuzi. Kenya ndio financial powerhouse wa East African region.
Na currency instability yote mliyonayo, cartels, embezzlement, political instability lkn bado unataka EACB iwe Kenya.Huu ni upuuzi. Kenya ndio financial powerhouse wa East African region.
Sijui amekuelewa hapa!!Nimesoma na kufanya kazi huko muda mrefu tuu na nina copy yangu huko![]()




Tony254 




Wewe mawazo yako, yako kwenye negative end of the spectrum you cant see anything good in any discussion.How can you be so stupid yet umesoma? You must have a very low IQ au ni mfumo mbovu wa elimu ya Danganyika
Tony mjanja kaelewa ndio maana kacheka ila hao wengine sidhani.
Unazungumzia zile footbridge dampoUnajua nyinyi hamna footbridge nyingi ndio maana mnaona ni kama maajabu. Sisi huku Kenya tunazo zaidi ya footbridge mia moja na ndio maana unaona huwa hatuzipost kwa sababu ni vitu vya kawaida huku. Lakini hio yenu ipo sawa.



The EU Headquarters are in Brussels but the country that controls EU is Germany. It is called tokenism.Huu ni upuuzi. Kenya ndio financial powerhouse wa East African region.
Generally, Kenyans see the Ky-Tz 'rivalry' in terms of banters but Tanzanians take it too seriously. In real life, many Tanzanians (most who have never been to Kenya) genuinely hate Kenya, that's not the case with Kenyans unless we are talking about a Kenyan who has had a very bad experience with Tanzania or Tanzanians. Hatuna roho mbaya dhidi yenu kama mlivyo dhidi yetu.Aaah mlungula utakuwa umepenya! Yaani kunyaland iunge mkono EACB iwe Tanzania? Ila on a serious note Tanzania deserves based on sound monetary policies! Inflation has been the lowest in the among all members and the whole region.
Easy Boss, tutumie lugha ya jumuiyafyuks!! atleast I can have a sigh of reliefs!..
i only realize tht, its not our shilling tht it's falling, but rather, it's the dollar itself tht has gained against all major currencies across the world! Tony254, whts your take as an economist..
Kwahiyo hii bridge Iko na elevator au sio.? 🤣🤣🤣 This kinda bridges bongo zipo tu famba weweNa sio ya vilema.
View attachment 2308683
Wabongo munakuanga washamba sana. Ndio maana hio nchi yenu yote ikona less than 20 footbridges.
Was a joke to Walker255 kaka ila Mtwara kuweka regional monetary institution tutakuwa tunadanganyana!Yah kila mkoa inabidi uchangamke . Mtwara kuna uwanja wa ndege mkubwa , ipo connected na barabara na mikoa yote jirani