Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tukipata tatizo la kupungua kwa umeme wakati wa kiangazi tutanunua kutoka Ethiopia sio Tanzania. Tayari tumeshatia saini mpango huo wa kununua umeme kutoka Ethiopia.
Nilikuwekea clip ya speaker wa bunge la Tanzania akiwahakikishia wabunge toka nchi za SADC kwamba Tanzania tutawapelekea umeme, huko umeme wetu unasubiriwa kwa hamu Sana, bado hautoshi, huko Kuna mahitaji makubwa Sana[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
I am serious. Kwa nini point yangu ilikuwa rahisi sana kuelewa? Hakuna tofauti kubwa kati ya 4 US cents na 8 US cents. Kitu kinachofanya bei ya umeme ya Kenya kuwa juu ni thermal power ambayo bei yake ni wastani wa 25 US cents per kwh. Tukiondoa hio thermal power kwa grid yetu basi bei ya umeme itarudi chini. Nini ngumu kuelewa hapo? Hao IPPs wanaomiliki thermal power ndio wanatusumbua ila wataondolewa.
 
Wapelekeeni hao watu wa SADC. Sisi hatutaki umeme wenu unaokuja na majungu na figisu.
 
Hakuna kituo au sehem ambapo serikali inauza gesi asilia kwa mteja wa mwisho. Vyote vinamilikiwa na sekta binafsi.. serikali (TPDC) inaweza kuhusika kusupply gas tu, mambo ya sijui kujenga kituo sijui kufunga mfumo, anaehusika na anemiliki ni sekta binafsi
 
Vipi mnaenda kuzalisha umeme kwa jirani wakati kwako bado huna umeme wa kutosha?, then unarudi kwa jirani huyo huyo kununua umeme huohuo uliomjengea wewe[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Cross border electricity trade is a common phenomenon worldwide. Make Google your friend upunguze ujinga.
 
Sasa kama hamtumii gesi mtawezaje kujua ni bei rahisi kuliko joto ardhi?
 
Hizi IPPs zingine ndo zinatumaliza
 
Hivi umelewa au ni akili ndogo?.
Gharama ya umeme wa Geothermal kuzalisha popote duniani ni $8cent, wakati umeme wa maji ni $4cent.

Ni wazi kwamba umeme wa Geothermal ni ghali x2 ukilinganisha na umeme wa maji, Sasa wewe bado unaingiza umeme wa mafuta, wacha kujitia ujinga.

Kama mtaendelea na uzalishaji wa umeme wa Geothermal by 100%, na sisi tukizalisha wa maji by 100%, gharama za umeme Tanzania zitakua cheaper by $4cent per each Kwh, hiyo tofauti ni kubwa Sana katika matumizi ya umeme viwandani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania haikuathirika na ukame kupelekea uzalishaji umeme kushuka sababu umeme wetu mwingi unazalishwa na gas ambayo itachukua decades kupungua

FYI serikali ndio kwaanza inachukua millions of liters from hydrodam ya Dodoma for industrial and domestic supply kama ukame umetuathiri this could have never happened
 
Mimi najua ninachosema. Usifikiri huwa sitazami video za waziri wenu wa kawi.
 
Wewe sitapingana na wewe. Naona huelewi point yangu. Sitapoteza muda na wewe.
 
Mmh nafkiri hii bridge ni kwaajili tu ya staff wa Agakhan kwa kweli na wagonjwa labda, sidhani kama itatumiwa na watu random.. hayo ni mawazo yangu lakini, kwasababu hata hivyo hiyo bridge ni mali ya Agakhan

Upande wa pili wa Aga Khan Hospital Ni Aga Khan University, Na magari yote ya wanaokuja Hospital yanapark upande huo, So ni facility yao na inaunganisha property mbili zilizotengeanishwa na barabara .
 
The reading is good [emoji106]. Normally people are encouraged to undergo health check every year if not twice a year.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…