Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

heb na uturushie mapicha ukiwa uko hapa jf watu wako funny
SA na miji mingine duniani huwa naenda kama chooni tuu. Hapo SA naweza kwenda kwa mwezi mara 5.

Siku nakuja Naipori hapo JKIA jamaa wa immigration alivyo scan passport yangu akaniuliza mbona wewe hupendi kutembelea huku nikamwambia ndio kwanza naanza kuja lakini nilimuelewa alimaanisha nini.

Cape Town hiyo
Screenshot_20220728-093349_Gallery.jpg
Screenshot_20220728-093523_Gallery.jpg
 
So aim for the failed Lapsset was to attract some several unprepared tourists?

What do you mean there's tourism booming while there's no functional international airport for tourists there like in Zanzibar or Kilimanjaro!
Now you staring to get me... There was tourist attraction sites in the north but there was no airports or roads to reach there, thank God lappset roads were built.... Then guys discovered the north was beautiful then boom dessert safaris became a thing... We don't know we had a mini Dubai in the north till lappset
images (3).jpeg
images (4).jpeg
images (5).jpeg
images (6).jpeg
images (7).jpeg
tourism is really booming at the north right now very big resorts have been build there adding to the devolution factor
 
Lol! He seems to have been EVERYWHERE. Dude once told me he had lived in Eastern United States and Europe. Usually I don’t question people about these things but the guy said he never saw AIR CONDITIONERS in Europe
Acha ushamba wewe heating system ndio common in most European states not Air conditioning units.

Na sina haja ya ku prove kwako mahali nimeishi pia ukitaja miji mikubwa kama London, New York etc nayajua majiji yote haya kama navyojua kona za Dar es salaam.
 
Exactly heat pumps zinazofanya both heating and cooling depending on seasons!
 
Punguza ujinga wa kikunya, ninyi kila kitu mnajidanganya mkidhani Kenya mnazidi nchi zingine, huu ujinga wenu msijaribu tena kuurudia, lete ranking za miaka mitano mfululizo tuone Kama Nairobi University imeizidi Makerere. Your media have been deceiving you for almost all years that you are the best, stupid.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Na mimi singeoenda kujihisisha na mjadala wa matusi....
 
Now you staring to get me... There was tourist attraction sites in the north but there was no airports or roads to reach there, thank God lappset roads were built.... Then guys discovered the north was beautiful then boom dessert safaris became a thing... We don't know we had a mini Dubai in the north till lappset View attachment 2306660View attachment 2306661View attachment 2306662View attachment 2306663View attachment 2306664tourism is really booming at the north right now very big resorts have been build there adding to the devolution factor
#built#
Hebu leta hizo big resorts uki-mention nne natoka humu ndani!
 
Punguza ujinga wa kikunya, ninyi kila kitu mnajidanganya mkidhani Kenya mnazidi nchi zingine, huu ujinga wenu msijaribu tena kuurudia, lete ranking za miaka mitano mfululizo tuone Kama Nairobi University imeizidi Makerere. Your media have been deceiving you for almost all years that you are the best, stupid.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂 weka latest ranking ya African universities tuone mko wapi nyie mikwara wa East Africa.., na hiyo makerere iko wapi.., wivu na chuki kwa Kenya vitakunyonga, zoea ukweli usife bure😜😜 😂😂😂😂😂
 
i agree with you 101%, i have a somali friend who happen to have lived in cape town, till xenophobia caught up with him back in 2012. he told me renting a house is a total mess in capetown, and tht one may be working for a whole month just for the seek of house rent, and without saving anythng at all.! it may even subject one to hypertension and heartattack he told me its at par with Berlin,Germany
as in, real estate in capetown is infact the most 3xpensive in africa if not in the world, and u'll rarely find black people in decent housing estates there.
as you've just explained above, tht phenomena has made black pple subject to khayelitsha, which has spurred its growth to become among the biggest slums in africa!
Cape town kuna sehemu bado ubaguzi upo kuna kona ukienda peke yako kama wewe ni black lazima uchezee kichapo. Hata neighbouring towns kama Paarl, Wellington kwenye wine nyingi huko nako maeneo yamekaa purely white people
 
SA na miji mingine duniani huwa naenda kama chooni tuu. Hapo SA naweza kwenda kwa mwezi mara 5.

Siku nakuja Naipori hapo JKIA jamaa wa immigration alivyo scan passport yangu akaniuliza mbona wewe hupendi kutembelea huku nikamwambia ndio kwanza naanza kuja lakini nilimuelewa alimaanisha nini.

Cape Town hiyo View attachment 2306658View attachment 2306659
Huu muandiko wako na hizi picha ni watu tofauti.
 
Baada ya kuipunguza hiyo BP wauguzi huwa hawaendelei kuwasaidia wagonjwa kutafuta kiini cha tatizo.
Hawa patients wanapokuja clinic kwanza kabla ya kumuona daktari wanapatiwa elimu juu ya kuishi na HTN mostly elimu ina focus kwenye lifestyle na how to use medication and importance of attending clinic pamoja na kucheki afya zao mara kwa mara.
Hata patients wenyewe wana peer to peer education na pia huwa na association zao ambapo wanatoa elimu wenyewe kwa wenyewe ikiwa ni pamoja namna ya kuboresha huduma in collaboration na serikali.

A doctor in African setting sees a lot of patients in a day more than the recommended numbers but we have set a limit of attending a single patient for not less than 15 minutes.
 
List for me any of your industrial parks tuone how far they have gone? I know one in Dodoma, ata kiwanda kimoja hakijajengwa.., just name them tuchambue...,
Tukikuwekea industrial park ya Ruvu si utakimbia hapa
 
SA na miji mingine duniani huwa naenda kama chooni tuu. Hapo SA naweza kwenda kwa mwezi mara 5.

Siku nakuja Naipori hapo JKIA jamaa wa immigration alivyo scan passport yangu akaniuliza mbona wewe hupendi kutembelea huku nikamwambia ndio kwanza naanza kuja lakini nilimuelewa alimaanisha nini.

Cape Town hiyo View attachment 2306658View attachment 2306659
mkuu hongera👏🏽 nilidhani nibonoko
 
Tukikuwekea industrial park ya Ruvu si utakimbia hapa
Ama unaongelea ile plan ya kujenga SEZ sehemu inaitwa Mlandizi, Kibaha district? kuna kipindi mlitaja taja humu, weka hapa hiyo industrial park tuone hadi sasa kuna how many companies zime set up..., na ngapi zime break ground..., mnapenda visifa hewa, jikubali vile mlivyo kwa sasa 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom