Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's up to us (not waiting for the organizations like WHO) to educate ourselves about our bodies, lifestyle, vital signs and food we eat. That way, we can provide enough information to our doctors to better diagnose our conditions, when needed.

Mkuu, hayo yote uliyoyasema uliyajua na unayaamini kwasababu ya WHO, hao ndio waliyafanyia kazi na kutuletea ili yafundishwe vyuoni na kwa jamii nzima, endapo kutatokea mabadiliko yoyote mapya, au hayo unayojua yanaweza kupitwa na wakati yakawa hayafanyi tena kazi, sisi hatuwezi kujua hadi tupate maelekezo toka WHO, wao ndio wenye jukumu la kutoa miongozo kuhusu nini kifanyike ili kulinda Afya zetu.

Lazima kuwepo na utaratibu duniani, kila mtu akiamua kufanya vile anavyojua yeye, basi Dunia hii itakua ni fujo. WHO ndicho chombo cha juu duniani chenye jukumu la kutoa miongozo kuhusu Afya za watu, ni muhimu Kwa nchi zote kufuata miongozo yake.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapana, hatuwezi kuweka afya zetu rehani kwa jitu linaloitwa WHO. Vipi kama WHO imerubuniwa? Unafahamu kuwa Bill Gates ndiyo mfadhili wa pili wa WHO akiwa nyuma ya nchi (Marekani)? Yaani mtu mmoja anatoa pesa nyingi WHO kuliko serikali za nchi Tajiri kama Japan na Ujerumani, huwezi kujiuliza kwa nini?
 
Ama unaongelea ile plan ya kujenga SEZ sehemu inaitwa Mlandizi, Kibaha district? kuna kipindi mlitaja taja humu, weka hapa hiyo industrial park tuone hadi sasa kuna how many companies zime set up..., na ngapi zime break ground..., mnapenda visifa hewa, jikubali vile mlivyo kwa sasa 😂 😂 😂 😂
We jamaa sijakuelewa Unazungumzia nini, kwamba Tz hakuna industrial Park ama.?
 
Depends on how you look at it... Lappset is not finished to the standards it was planned for but has it become beneficial??? Yes very much... It has really opened up the north side with the new roads constructed several Seth light towns have emerged tourism has improved north and the economic activities of the people has improved tremendously... So you can't call LAPPSET a failed project... Understanding this depends on the IQ of the reader
How many ships per month hiyo port inapokea? Ukijibu uwe umelewa swali vizuri maana nimeuliza kuhusu ships sio boats.
 
Hizo akina Sino nimechambua.., so far nini kiko pale?., weka makampuni yalio wekeza na yameanza kazi tayari kama vile Tatu tuone...,
Hiyo video haujaingalia mzee, ukiendelea kuiangalia hiyo vud utaona viwanda vimeshaanza kujengwa
 
How many ships per month hiyo port inapokea? Ukijibu uwe umelewa swali vizuri maana nimeuliza kuhusu ships sio boats.
Now you are out of topic, we were talking of lappset project as awhole not lamu port.... Lamu port as a part of the project its not really doing so well but we were talking about the project in wholesome and the benefits it has brought hence ruling it out as not being a white elephant
 
Nairobi is now trying to perfect horizontal infrastructure.

tapatalk_1658944157970.jpeg
tapatalk_1658944151004.jpeg
tapatalk_1658944141878.jpeg
tapatalk_1658944132399.jpeg
 
We bwana Don YF wachana na Pwani kabisa kwenye maisha yako 👇. SINO TAN INDUSTRIAL PARK na parks zingine zinazojengwa as we talking right now ni miradi mipya mikubwa but they ar not the only industries that we have, hapa bongo mkoa wenye viwanda vingi kuliko mikoa yote ni Pwani region, nikianza kuweka viwanda vya Pwani itakubidi ulete Nairobi kwenye hiyo battle, kwahyo please stay on your lane
 
Back
Top Bottom