Sorry for delay niko up n down, working as I chat with u, so nachukua muda mrefu kujibu...,Ndio mana huwa nakutukanaga we jamaa, okay tatu City mpaka sasa kuna viwanda vingapi vinavyofanya kazi.? Weka picha au video
Wacha ifike levels ya Arusha, both economically and CBD development.., before u mention Dar or Nairobi or even Mombasa or Kisumu..,Hiyo battle hauiwezi mzee we tulizana tu kubali matokeo, we kaa kwa kutulia uendelee kuona vile DOM inakimbiza top Two big cities in EA
Hivi ndio viwanda vyenye vipo tatu village center pekee, yo bado sana mzee, nilikwambia kitu chenye utanishinda ni picha tu kwasababu sina picha za viwanda DODOMA basi, sorry hii tatu kwakweli hapana chagua mji mwingine tutaendeleza battle Ila kwa hii empty Field kwasasa noSorry for delay niko up n down, working as I chat with u, so nachukua muda mrefu kujibu...,
Dormans Biggest coffee factory in East and central Africa
View attachment 2305876
View attachment 2305877
View attachment 2305878
View attachment 2305881
View attachment 2305882
Weka list ya active companies already set up in Dodoma and upcoming zenye zime break ground tayari, excuses avoid, Tatu mtoto mdogo sana na tayari kuna active companies from zero kwa ground...,Hivi ndio viwanda vyenye vipo tatu village center pekee, yo bado sana mzee, nilikwambia kitu chenye utanishinda ni picha tu kwasababu sina picha za viwanda DODOMA basi, sorry hii tatu kwakweli hapana chagua mji mwingine tutaendeleza battle Ila kwa hii empty Field kwasasa no
Industrial park ngapi ziko Tz?, Special economic zones (SEZ) na Economic prosessing zones(EPZ) ngapi ziko Tanzania? how many are running? ..., unajua kwa nini economic output yetu ni kubwa? na ni kwa nini annual revenue ya Kenya ni mara mbili ya Tanzania kweli?.., fanya utafiti Kenya kuna nini bro..., nyie bado sana ila mnasonga, inaonekana, but tuka hatua kadhaa mbele..,Hivi ndio viwanda vyenye vipo tatu village center pekee, yo bado sana mzee, nilikwambia kitu chenye utanishinda ni picha tu kwasababu sina picha za viwanda DODOMA basi, sorry hii tatu kwakweli hapana chagua mji mwingine tutaendeleza battle Ila kwa hii empty Field kwasasa no
Dom Bus Terminal ipi wakati ishajengwa?Under construction DODOMA View attachment 2305298View attachment 2305300View attachment 2305301
Ukiachana na hii center mpya ☝️ ambayo kwasasa inapokea construction boom bado DOM Iko na old Center yake 👇ambayo nayo pia kwasasa inapokea ujenzi mkubwa wa high rise buildings 👇
View attachment 2305303and this is the reason huwa nasema Dodoma ikimaliza ujenzi wake itakua na three CBDs Don YF. Hizi centers mbili zote hapo juu ni kando na DODOMA new government City
Yani hapa 👇. Hii miradi yote mingine;-
1.chinangali recreational park
2😀om outer ring road
3😀om international airport
4: Indoor Arena
5:NHC 1000 HOUSES
6:TBA 3500 HOUSES
7:KONGANI YA VIWANDA NALA
8😀OM BUS TERMINAL
9: DOM market
N.k ..
Hii miradi ikikamilika yote sioni comparison ya Dom na mji wowote hapa Tz kando ya DAR hapo kwenu ni Nairobi tu yenye itaweza tajika juu ya DODOMA otherwise hakuna .. ndio nishangazwe na wewe unaetaka kuilinganisha DODOMA na mradi wa nyumba kadhaa kwenye empty field kwa jina la tatu City, hii inaudhi sana
Hii mashule ni kienyeji sana, si level za Crawford!!!
Issue kubwa ya inayosaidia Eygpt na morroco ni distance fupi tu europe hio ni advantage..In 2021 tuliingiza around $1.3b na nyinyi around $1.5b despite nyinyi kuwa na alot to offer in that sector.
Geza mkakua serious kidogo mnafaa kuwa level ya kina SA, Egypt na Morocco. Mko na alot to offer hata kushinda hizo nchi
HahahaWait a minute hii ni English academy sio International school
Nakuelewa. Mimi pia ilibidi nilog off kabisa mpaka jioni sasa. Afadhali battle za jioni.Heheheheeee nipo kazini jombaa, so napata chance kdg sn ila twende kazi mzeiya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
We nae unaviashiria vya ukubwa jinga .......
Hiyo tatu inaowatoeni povu na mishipa ya uso mnaifananisha na dodoma city au magufuli city?
*Kama mnafananisha na domcity 3 ni takataka
*kama mnafananisha na magufuli city napo ni takataka anae bisha afanye kama anajikuna 😎 tuingie kwa ground
Sasa wewe leo hii umekuwa daktari? Wewe mbona huwa una kimbele mbele sana? Hahaha. Kesho utakuwa pilot sio? Utatuonyesha jinsi ya kuendesha ndege. Teargass usibishane na huyu jamaa. Yeye ni expert wa kila jambo.Mkuu hapa tunazungumzia "Hypertension" sio heart diseases. Hivi ni vitu viwili tofauti japo vinakaribiana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mashule ndio nn?Hii mashule ni kienyeji sana, si level za Crawford!!!
Hahaha sasa waliojifunza ni nani kati yetu? Ninyi mliokua mnasema Dodoma haifui dafu kwa fyatu estate kwenye shule ndio mnaosema 'tuishie hapa' mmeanzisha battle wenyewe na kuomba yaishe wenyewe yet unasema tumejifunza 😁😁😁😁Point yangu ya kushiriki kwenye hii battle haikuwa kuprove kwamba Tatu city inaweza shindana na Dodoma. Najua Dodoma ni kubwa. Point yangu ilikuwa ni kuwaonyesha tu kwamba Tatu city sio kichaka kama mlivyokuwa mnafikiria. Sama boy 255 alikuwa ameidharau Tatu city sana, nadhani nimekufungua akili kidogo. Tatu city imeanza kujengwa miaka 6 iliyopita so bado ina mwendo mrefu ili kufikia levels za city zingine. Ila ujenzi uliofanyika ndani ya Tatu city kwa miaka 6 pekee ni mkubwa sana.
Wacha battle iishe kwa maana hatuwezi kulinganisha Tatu city na Dodoma city kwa ukubwa. Haimake sense ila kwa quality ya facilities basi Tatu city inaendana bega kwa bega na city yoyote ile. Ipe Tatu city miaka ishirini tuone itakuwa imefika wapi kwa maana Dodoma city imejengwa kwa miaka zaidi ya 30 ili ifikie hapa ilipo sasa hivi. Wacheni battle iishe. Bora mumejifunza kuwa Tatu city sio kichaka kama mlivyokuwa mnafikiria.
The best 007 chongchung Sama boy 255
xng hua
coodip1