The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Dodoma ina big projects za ujenzi wa nyumba ambazo hivi tunavyoongea zimekamilika, hizi ni picha za kitambo kidogo. Onesha zako za Tatu village [emoji116][emoji116]
Nyie wakunya shule mlienda kusomea ujinga? Em soma tena swali
Punga huyo nishampa dozi kakimbia hata robo sijaingiza kachomoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie wakunya shule mlienda kusomea ujinga? Em soma tena swali
Hizi ni top tier, class A, warehouse facilities, only found in Tatu city. Usitegemee kuona warehouse of this high quality huko Dodoma.yani even before nione ninini ama ni wapi, i already knew this to be kenyaland. vitu za kikenya zo uonekana na mapema maze. yani zina kaa more sophisticated, hightech and classy, other only countries u ll see this kind of sophistications in africa are SA, egypt and mauritius.
alafu waTz wanadhan watatupita ama wametupita tayari.. lakini hio itabakia kua ni ndoto ama ruwaza 2091.. na hakuna siku hivi karibuni.. huku wakizidi kutuombea mabaya, lakini ndo tunazidi kupokea wawekezaji na makampuni tajika duniani kote..
wah!🙀 hebu ona tu vitu kaa hizi hapa. yani scenes za makampuni kubwa hapo nyumae tulikua tumezoea kuviona tu south africaView attachment 2304924View attachment 2304943
Achana nao hao wajinga bro unapoteza muda wako bureDom kama Dom [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2305051View attachment 2305052
Tusifike huku mkuu 😅hizi iskender ligi yake kanairo 3shiti mwenzie kwa mbaaaliii ni udom ingawa 3shiti ata kwa udom ni trashHizi zote zimekamilika nitaleta picha za sasa.View attachment 2305054View attachment 2305055View attachment 2305056View attachment 2305058
Hizi ni top tier, class A, warehouse facilities, only found in Tatu city. Usitegemee kuona warehouse of this high quality huko Dodoma.
😂😂😂😂😂😂apa ndo ulipofikia unatokwa povu kisa warehouse?Hizi ni top tier, class A, warehouse facilities, only found in Tatu city. Usitegemee kuona warehouse of this high quality huko Dodoma.
Udom ni kubwa na inavutia kuliko 3shit trust meDodoma ina chuo kikubwa kuliko vyote East and Central Africa, onesha chuo japo kimoja Tatu village [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2305041View attachment 2305042View attachment 2305043
😂😂😂😂😂 mnajiona waaaatu.....budaa nyie ni homoerectus ndo maana mnachekelea warehousekwani ni uongo.. wee hata kuweka guu nje ya mkoa wako inaweza kua ni bahati
Ni kweli kabisa kaka, Dodoma kwa Arusha na Mwanza bado na hata ikitokea si kitu cha hivi karibuni, Dodoma itakuwa ni mji mdogo uliopangika vizuri.Dodoma bado ni changa kwa arusha ama mwanza ,huko badae inaweza sogelea kulingana na kazi zinazofanyika kwa sasa.
Thika na Dodoma zinaivana na kuna battle tayari mnaweza ipitia
Hiyo sanction itoke kwa nani,kwa sababu zipi na misingi ipi?Nyinyi mkapigwa sanctions hamuezi survive kama kina russia, iran na north korea, hamna hizo muscles. Bongolala kama wewe huezi elewa kile sanctions inaweza zifanyia hizi uchumi za nchi zetu za kiafrica
Wacha kujichosha mkuu,kuna mambo ni yakupuuziaAjabu kweli, mpumbavu kama wewe ndio uniumize mimi kichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani upo Czech Republic ndio unajionaa, ha ha ha. Wewe kweli ni nyang'au.kwani ni uongo.. wee ata kuweka guu nje ya mkoa wako inaweza kua ni bahatiView attachment 2305094