Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ingine kupigwa marufuku ilikisiwa ku promote mpango wa kando👇🏽 hii hapa

 
Sector binafsi ya Tanzania ni pre mature bado.
 
Please be kind enough to post for us at least 10 big companies in Dodoma, we want to compare that with Tatu city so that we know which one is stronger economically.
Tatu City kuna Big company .? 🤣🤣 Gani hiyo.?
 
Hakuna meli inayofanya kazi Ziwa Tanganyika..

Ziwa Nyasa ali repair tuu ile MV Mbeya na MV Njombe vikafa baada ya miezi 2 tuu tena akiwa hai na mabilioni yaliteketea..

Ukweli ni kwamba alikuwa anapendelea ukanda wa kwao huko Lake Zone.
 
Hiyo hiyo miaka 5 amejenga meli na ku repair meli nyingi Kanda ya Ziwa ,nyumbani.
 
Huyu mama kukamilisha Mwanza airport ndio kumemshinda kabisa kabisa, angalau hata Magufuli kabla hajafa alianza ujenzi na alipanua barabara ya Mwanza Ilemela CBD kuwa njia 4

Haina impacts yeyote hiyo airport yenu, Mwendazake alikuwa anapendelea kwa sababu za kwao tuu..

Tunajenga hii hapa 👇
Please be kind enough to post for us at least 10 big companies in Dodoma, we want to compare that with Tatu city so that we know which one is stronger economically.
Siwezi ku post picha za viwanda ila nitataja baadhi..

1.Kiwanda cha Mbolea ,Intracom ,

2.Kiwanda cha kusafisha dhahabu,

3.Kiwanda cha Kutengeneza wines,

4.Kiwanda cha Magidoro,

5.Kiwanda Cha nyama,

6.Pale Nala kuna industria area ambapo Mchina wa TanChice anajenga viwanda vikubwa zaidi ya 6 nk nk
 
Hii SEZ ya Naivasha itavutia makampuni nyingi sana kwasababu ya cheap power from geothermal ndo maana tulipeleka sgr huko na kuunda ICD
geothermal power ipo cheap? peleka upumbavu ukunyani!



 
This is a joke to Tatu. Here are some industries in Tatu.

ALP

 
Endelea kuota,as we speak Dodoma imeizidi Mwanza kwenye TRA collections..

Tafuta figures za 2020/2021 ..

Harafu unaposema eti miundombinu ikikengwa itarudi kama zamani hiyo ni economics ya wapi? Nini maana ya hizo investment sasa?

Viwanda na huduma zinaongezeka unasema itarudi kama zamani,zamani ipi ikiwa hadi sasa Dom ndio ya pili Kwa Council Collections nyuma ya Dar pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…