Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila kuna jamaa wakikenya ni wapumbavu sana, mtu anakaza pumbu ati anailinganisha Progressing Dom (mwakani tu hapo DOM itakua imeshapata picha nzuri pamoja na kuchukua title ya one of the Top three cities in EA) vs Imagination tatu town 🤣🤣🤣 which has at least 50-100 years before it's accomplished
 
Sawa. Sikijua kwamba University of Dar es Salaam pia ilianzishwa 1970.
Tanzanians are much more knowledgeable than you Kenyans, problem is your media and leaders who have been feeding you with false information which has made you to think that you are superior than your neighbors[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo unakubali kwamba Kenya serikali inaendeshwa na watu wenye pesa?, Kwamba maslahi ya matajiri yanazidi maslahi ya wakenya wengi?. Sasa hiyo ndio maana halisi ya siasa za Ubepari.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Rostam atapata leseni. Ameambiwa ashughulikie mambo yaliyoibuliwa katika protection ya mazingira ili kuhakikisha kiwanda chake hakitaharibu mazingira. Sio kwamba amekatazwa leseni kabisa.

Cc Chamoto.
 
Kama hao watu mashuhuri walisoma zamani lete na ww watu mashuhuri waliosoma zamani hapo Kunyaland, unaogopa nn sasa au lete waliosoma hivi karibuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmejibiwa vizuri sana na Tony254 lakini mnajitia hamnazo.., wakenya na wengine walienda kusomea Tz chini ya Wazungu, nyie mlikua vichakani bado kwa wingi, mliichukua na tokea 1970 mkai establish as a National University, na ikawacha kuendelea, imeshuka kielimu licha ya kukua top miaka ya zamani.., so wacha hekaya zako za abunuasi, mko below Kenya kimasomo, wacha tu nikucheke, jaribu tena 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1658737616673.png
 
Mmejibiwa vizuri sana na Tony254 lakini mnajitia hamnazo.., wakenya na wengine walienda kusomea Tz chini ya Wazungu, nyie mlikua vichakani bado kwa wingi, mliichukua na tokea 1970 mkai establish as a National University, na ikawacha kuendelea, imeshuka kielimu licha ya kukua top miaka ya zamani.., son wacha hekaya zako za abunuasi, mko below Kenya kimasomo, wacha tu nikucheke, jaribu tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2303130
Kama umekosa watu mashuhuri waliosoma Kenya nenda umlilie babaa.ko usinililie mimi tafadhali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama umekosa watu mashuhuri waliosoma Kenya nenda umlilie babaa.ko usinililie mimi tafadhali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekubana, umepata pakutokea eti😂😂😂, yaani huu mwaka mmechemsha kwa kila kitu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Wakenya msijaribu kujifananisha na Tz kabisa kwenye suala zima la Elimu, hata on ground iko wazi, kwenye Afya mnaona now madokta wetu rafiki zao ni madaktari wa India n.k, pia tuliwahi kuwaletea madaktari wa msaada huko Kenya, kwenye engineering ndiyo msiguse kabisa nyie majengo kila siku yanaanguka kutokana na poor education wanayopata engineers wa Kenya, kwenye kilimo ndio kabisa tuna vyuo bora vinavyopelekea kulisha nchi nyingi za Afrika ikiwemo Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama umekosa watu mashuhuri waliosoma Kenya nenda umlilie babaa.ko usinililie mimi tafadhali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani unadhani David Ndii unayemuabudu usiku na mchana alisomea wapi bachelors degree yake? Au unafikiri alisomea Tanzania?
Screenshot_20220725-113445.jpg
 
Wakenya msijaribu kujifananisha na Tz kabisa kwenye suala zima la Elimu, hata on ground iko wazi, kwenye Afya mnaona now madokta wetu rafiki zao ni madaktari wa India n.k, pia tuliwahi kuwaletea madaktari wa msaada huko Kenya, kwenye engineering ndiyo msiguse kabisa nyie majengo kila siku yanaanguka kutokana na poor education wanayopata engineers wa Kenya, kwenye kilimo ndio kabisa tuna vyuo bora vinavyopelekea kulisha nchi nyingi za Afrika ikiwemo Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie hamjawahi kutuletea madaktari wa msaada mzee. Wacha kuvuta bangi.
 
Sawa. Sikijua kwamba University of Dar es Salaam pia ilianzishwa 1970.
UON is the first college of architecture and engineering in the region ila kila siku majumba na madaraja yanaanguka huko Kunyaland! Nyie ni certified mabingwa wa shoddy works!
 
Ukweli ni kwamba Wakenya wengi hawakupenda hio proposal ya kuleta madaktari kutoka Tanzania. Hatuna uhakika na quality ya education yenu.
Na ndiyo maana kwa ss Wakenya wanafurika hospitali za Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na unajua first Sandhurst military college graduates walitoka nchi gani in East Africa? Na unajua nani ali-train na ku-commission ur first army?
Mzee history sio strong point yangu. Niliwachia somo la history form 2. Pengine uniambie.
 

Ni firms ngapi za kutokea Tanzania zimeingia DRC kwa sasa?.., Kenya hatuzubai.,

Kenyan firms troop to DRC in hunt for bigger markets​

MONDAY JULY 25 2022
main-kinshasa

30th June Avenue, the main street in Kinshasa, Democratic Republic of Congo. PHOTO | ADONIJAH NDEGE | NMG

Audit and advisory firm BDO East Africa is set to start operations in the Democratic Republic of Congo (DRC) in October, joining a growing number of Kenyan firms that are setting up shop in the East Africa Community’s newest member state.

The largely untapped DRC market has recently attracted more than 20 Kenyan firms which have either set up shop or offered a commitment to make trade investments. The biggest entrant is Equity Group which acquired Banque Commerciale du Congo in 2020, having earlier taken over ProCredit in the same market to set up its EquityBCDC subsidiary.

Growing demand​

The entry of BDO now signals that firms offering professional business support services are beginning to follow their trading and manufacturing peers to the DRC, expecting to help them navigate the legal, tax, and regulatory environment in the country.

BDO East Africa chief executive officer Sandeep Khapre said that there is a growing demand for such services by companies that are setting up trading operations in the DRC, as well as by existing Congolese businesses which have not had access to such services previously.

“We have experience in setting up operations in new territories that have made it possible for clients to access the latest in financial services solutions which are becoming increasingly necessary to assist them to navigate the ever-changing business landscape. Our soon-to-be-open Kinshasa office will offer clients these solutions,” said Mr Khapre.

RELATED STORIES​


BDO East Africa is part of BDO International — a worldwide network of public accountancy firms operating in 167 countries. In the East Africa region, the firm has offices in offices in Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, and Ethiopia.

The move by firms to set up shop in the DRC mirrors what happened when South Sudan gained independence in 2011 and later joined the EAC, attracting regional capital as businesses sought to take advantage of the nascent market in an oil-backed economy.

However, civil strife has hurt the prospects of businesses in South Sudan, including banks that have suffered high rates on non-performing loans.


In 2014, KCB shut three branches in South Sudan after war broke out, while Equity Bank closed seven of its 12 branches in the country in 2017.

The DRC has also experienced strife but does enjoy a relative calm in most major cities and a large market of 90 million people.

Improve tax systems​

In April, a trade mission organised by the Kenya and DRC governments in partnership with Equity Group saw 26 Kenyan companies commit to investing up to $1.6 billion (Sh189 billion) in the DRC .

Equity Group disclosed that Rentco Africa Limited, Optiven Group, Greenlight Planet Limited, Jumbo Foam Limited, BIDCO, Geomaps, and Nyanja Associates were among those making these commitments.

DRC President Felix Tshisekedi said his government would put in place reforms to protect investment, improve the legal and security environment and improve tax systems to allow the flow of goods in and out of DRC and access to loans for economic co-operators.
 
Back
Top Bottom