Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Whats happening to Kunyaland shillings?[emoji1787]
Mwaka juzijuzi tu ilikuwa 1Kshs=24Tshs, na miez ya juzijuzi tu hapa ilikuwa 1Kshs=20Tshs, ila sikuhizi ni 1Kshs=19.3Tshs
View attachment 2303344
The KES is aligning to its true value after being managed for so long it will reach 125 to the dollar before the end of the year according to my projections.
 
Mzee Tatu city sio mahali pa kuishi pekee. Kuna industries huko. Kuna Sasini ambayo ni kampuni ya kuprocess kahawa. Kuna Davis and shirtfliff ambayo ni supplier wa energy and water solutions. Kuna ICT company inajenga BPO centre kubwa huko itakayoajiri Wakenya 4,000. Kuna Moderna Vaccine company inayojenga vaccine plant ya kwanza East Africa huko Tatu. Ukiacha viwanda na apartments za watu kuishi pia kuna shule mbili ndani ya Tatu city ambazo tayari zina wanafunzi. Utalinganishaje Tatu city na Eko atlantic ambayo bado watu hawajaanza kuishi humo? Punguza wivu.
Let us be realistic between Dom and Tatu city which one will have more economic impact than the other patriotism aside. Let us discuss like people with brains.
 
MY TAKE
Zinakaa hasira za kujenga Kipevu oil jetty yet getting wipped by gas imports from Tanzania to Kunyaland!

CC: Tony254

Isiwe kwamba ni ukweli mnaimport gesi kutoka Iran kwa maana mtachezea kichapo cha US. Isiwe kwamba mnaviolate sanctions za US. Nyinyi ni kama mbu tu kwa US, anawafinya kwa vidole viwili mnasambaratika.
 
MY TAKE
Zinakaa hasira za kujenga Kipevu oil jetty yet getting wipped by gas imports from Tanzania to Kunyaland!

CC: Tony254

Halafu business daily kwa kufanya investigations ni wakali. Wamefichua sakata nyingi. Hawa sio watu wa kukurupuka. Wakisema kuna jambo inabidi wachukuliwe seriously. Meli inayoleta gesi TZ inadanganya kwamba imetoa gesi Oman kumbe port ya Oman imekana hayo madai. Wacha USA iwapige kisogoni ndio mtajuta.
 
Mmeanza kumchafua Rostam sio? Lazma awafinye maana hamuwezi kumkwepa!
 
Let us be realistic between Dom and Tatu city which one will have more economic impact than the other patriotism aside. Let us discuss like people with brains.
If Dodoma will have industries then it will compete with Tatu city. If Dodoma will only have government offices then forget about it, it can't compete.
 
If Dodoma will have industries then it will compete with Tatu city. If Dodoma will only have government offices then forget about it, it can't compete.
Kwahiyo unataka kusema hamna industries zinajengwa Dodoma kama Tatu city?
 
Yaani unaanika upumbavu wako wazi wazi kilaza[emoji115][emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], ungefyata tu. Unakurupuka tu bila kuchunguza, Tatu is not like eco atlantic.., it's more of an economic zone, an industrial park, ndio maana as at now ime attract over 70 companies, not same case with eco atlantic in Lagos, ya Egypt is more like Dodoma, moving the capital into hinterland, tofauti is that Egypt iko na financial muscles whereas nyie ni fukara kifedha, hamuwezi tajwa sentensi moja na Egypt, hilo ni tusi kwa Egypt[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tatu has economic value than Dodoma which is merely administrative than economic. Ebu nionyeshe investments in your so called Kawe city? kuna industries and companies setting up? ama ni residentials kilaza? Shabiki za kijinga peleka mbali, mko way below, yaani mko nyuma sana, alafu unataja Tanzania sentensi moja na Egypt, tulieni na akina Zambia/Mozambique/Malawi/Cameroon ndio size yenu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah hili povu sio la dunia hii, so how many manufacturing industries are in tatoo city as we speak. ?
 
You must be very dumb kuamini hii ripoti. infact hata deni tunazodaiwa na nchi na mashirika za nje hazifiki hata $35b. Kenya tunadaiwa na china $6.92b
Hii ndo shida ya kuokota kila taka taka mtandaoni na kupost bila kufanya research
Umeona sasa hata sisi huwa tunazipinga baadhi ya report zisizo na taarifa sahihi?
Report nyingi zina upotoshaji hasa zinapoongelea mambo mabaya ya Afrika zinakoleza sana. Waafrika tuamke na kuukataa huu uzushi.

Huko nchi za wenzetu wapo masikini mafukara hohehahe hadi wanatia huruma lakini huoni wakipewa kipaumbele kwenye kutangazwa. Wanaficha aibu zao.

Afrika huwa tunatolewa mifano mibaya tu wakati tunayo mazuri yetu pia pamoja na udhaifu wa uchumi Lakini tuko vizuri maeneo fulani (utamaduni, mila,desturi, miiko,maadili).

Kenya mnapenda kuchafuana, kuharibiana, lobbying hata kwa ulaghai. Kuna mkenya kampokonya mama wa watu cheo kwa kumzunguka hapa Dodoma.Kamuibia proposal na kuipresent kwa boss akadai yeye ndiye kaiandaa wakati alipewa aipitie tu .Hii ni roho ya uuaji na unyama.Hii ni tabia yenu kwa asilimia kubwa.
 
Halafu business daily kwa kufanya investigations ni wakali. Wamefichua sakata nyingi. Hawa sio watu wa kukurupuka. Wakisema kuna jambo inabidi wachukuliwe seriously. Meli inayoleta gesi TZ inadanganya kwamba imetoa gesi Oman kumbe port ya Oman imekana hayo madai. Wacha USA iwapige kisogoni ndio mtajuta.
[emoji23][emoji23]Tumia akili usiwe kama kunguru,
Vikwazo vya USA kwa RUSSIA vinatuhusu nini TZ wakati wao wenyewe bado wanaagiza gas ya Russia,
Hakuna Taifa lolote duniani litakaloweza kutupangia wapi pa kununua bidhaa flani
 
If Dodoma will have industries then it will compete with Tatu city. If Dodoma will only have government offices then forget about it, it can't compete.
Akili zako zipo makalioni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeah sure eneo ni kubwa sana, kuna namna wakitengeneza hii barabara itaendelea kuwa barabara nzuri sana
Ila ndio wawe makini wakati wanajenga wasije wakaweka vitu vingine visivyo vya lazima na kujikuta wameharibu eneo lote.
 
Mzee Tatu city sio mahali pa kuishi pekee. Kuna industries huko. Kuna Sasini ambayo ni kampuni ya kuprocess kahawa. Kuna Davis and shirtfliff ambayo ni supplier wa energy and water solutions. Kuna ICT company inajenga BPO centre kubwa huko itakayoajiri Wakenya 4,000. Kuna Moderna Vaccine company inayojenga vaccine plant ya kwanza East Africa huko Tatu. Ukiacha viwanda na apartments za watu kuishi pia kuna shule mbili ndani ya Tatu city ambazo tayari zina wanafunzi. Utalinganishaje Tatu city na Eko atlantic ambayo bado watu hawajaanza kuishi humo? Punguza wivu.

Send photographs of Tatoo.
 
Back
Top Bottom