Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If Dodoma will have industries then it will compete with Tatu city. If Dodoma will only have government offices then forget about it, it can't compete.
Hivi nyie wakenya mnatoa wapi ujasiri wa kulinganisha imagination zenu vs Reality.? Tatu town ni mapori na ahadi ya ujenzi while Dodoma ni kila kitu kinajengwa as we talking right now, au mnatafuta kiji mji cha kufanya comparison nasi Ili ionekane hatujawawipita.? 🤣🤣🤣, Tunavyoongea hivi sasa Dodoma iko na viwanda vikubwa tu tena vyenye brand kubwa Tz, mfano viwanda vya wine kama Dompo n.k, kiwanda cha magodoro Comfy n.k (zote hizi brand kubwa bongo) . Na viwanda kibao under construction kama kiwanda kikubwa cha mbolea, SGR inafika Dodoma, Different kinda projects like international airport, International indoor Arena, Dodoma will also host embassies zote (kwahyo tegemea kuona investment kubwa kubwa DOM pamoja na HQ ) .. DODOMA will be having Three CBDs separate .. 1. Old CBD (ambayo nayo kwasasa ipo kwenye construction boom), New CBD ambayo nayo inapata gorofa nyingi nyingi high rises, lakini pia Dom Iko na Political capital (Magufuli new government City) those CBDs ar far to one another for at least three km and above, i.e Magufuli City iko mbali sana na town nafkiri hata 5 km ..

Mnatoa wapi ujasiri wa kulinganisha DODOMA na gated community zenu.? 🤣🤣🤣
 
So you're asking between setting industries and building government offices which will have more economic impact?
It is not about building government offices only as people with narrow mind would have thought but you have to consider whole range of economic activities that are synonymous with capital cities like Nairobi, London etc.

By having the seat of Government what opportunities in hotels, transport, retail, manufacturing and business are there to satisfy demand and complement the growth of Capital city vis a vis a city that does not have the necessary means to stimulate population growth and increased demand of industrial goods.
 
Isiwe kwamba ni ukweli mnaimport gesi kutoka Iran kwa maana mtachezea kichapo cha US. Isiwe kwamba mnaviolate sanctions za US. Nyinyi ni kama mbu tu kwa US, anawafinya kwa vidole viwili mnasambaratika.
Tz is not Kenya that fears western powers. Tumeshawahi ku register North Korean vessels that were under sanctions walitufanya nini? No one can mess with Tz.
 
Halafu business daily kwa kufanya investigations ni wakali. Wamefichua sakata nyingi. Hawa sio watu wa kukurupuka. Wakisema kuna jambo inabidi wachukuliwe seriously. Meli inayoleta gesi TZ inadanganya kwamba imetoa gesi Oman kumbe port ya Oman imekana hayo madai. Wacha USA iwapige kisogoni ndio mtajuta.
Hizo zote ni propaganda za kuchafua biashara ya gesi ya Tanzania and more specifically the new plant ya Rostam to be built in Mombasa. Hiyo ni collusion between Kenyan authorities media and gas tycoon in Kenya.
 
If Dodoma will have industries then it will compete with Tatu city. If Dodoma will only have government offices then forget about it, it can't compete.
Dont tread between the lines by assumptions be technical in your observation and call a spade a spade.
 
Hivi nyie wakenya mnatoa wapi ujasiri wa kulinganisha imagination zenu vs Reality.? Tatu town ni mapori na ahadi ya ujenzi while Dodoma ni kila kitu kinajengwa as we talking right now, au mnatafuta kiji mji cha kufanya comparison nasi Ili ionekane hatujawawipita.? 🤣🤣🤣, Tunavyoongea hivi sasa Dodoma iko na viwanda vikubwa tu tena vyenye brand kubwa Tz, mfano viwanda vya wine kama Dompo n.k, kiwanda cha magodoro Comfy n.k (zote hizi brand kubwa bongo) . Na viwanda kibao under construction kama kiwanda kikubwa cha mbolea, SGR inafika Dodoma, Different kinda projects like international airport, International indoor Arena, Dodoma will also host embassies zote (kwahyo tegemea kuona investment kubwa kubwa DOM pamoja na HQ ) .. DODOMA will be having Three CBDs separate .. 1. Old CBD (ambayo nayo kwasasa ipo kwenye construction boom), New CBD ambayo nayo inapata gorofa nyingi nyingi high rises, lakini pia Dom Iko na Political capital (Magufuli new government City) those CBDs ar far to one another for at least three km and above, i.e Magufuli City iko mbali sana na town nafkiri hata 5 km ..

Mnatoa wapi ujasiri wa kulinganisha DODOMA na gated community zenu.? 🤣🤣🤣
DODOMA kuna huduma za Afya eleweka kwa Tunavyoongea hivi sasa Dodoma iko na three bigger hospital, moja BW MKAPA HOSPITAL ambayo bila shika ni kati ya hospitali kubwa zaidi tatu Tanzania, Facilities kama masoko makubwa (hata ndani ya Nairobi huwezi pata soko lenye hadhi kuzidi Dodoma) stendi kubwa ya mabasi Tz na stendi ya malori, kilimo ufugaji n.k, Tatu Town kwa Dom is a jock ni kama ka mradi kamoja among hundred projects with in the city of Dodoma .. DOM competition yake kwa hapa bongo ni DAR tu lakini itakua ni Mji uliopangwa vyema,

please show up some respects DODOMA isn't of your level, hakuna kamji chochote hapo kwenu kanaweza kuwa competitive kwa DODOMA nje ya NAIROBI
 
a nutty dread lock!

amekuja kama laana ama spoiler kwa camp ya ruto.. hivi amezoa ma youth wote abruptly from ruto's basket
View attachment 2304122View attachment 2304123View attachment 2304124
Wajackoyah has every right to vie just like ruto and others. He has his own supporters who are not subjects of another presidential candidate. He came from nothing.
Screenshot_20220726-162158.jpg
 
Tatu gated community 👇. Ukubwa wa hii tatooo town ni nusu ya ukubwa wa DODOMA new government City .. nimemsikia huyo jamaa hapo akieleza kwamba barabara ndani ya tatu city ni 21 km 🤣🤣🤣 while with in Dodoma magufuli city there's 52 roads km, ambapo 21 km ni dual carriage way and 29 km ni kawaida.. hawa wapuuzi wako hapa kulinganisha kifo na uhai 🤣🤣
 
Let us be realistic between Dom and Tatu city which one will have more economic impact than the other patriotism aside. Let us discuss like people with brains.
Mkuu hakuna comparison kati ya Tatu village na Dodoma, Tatu village ni ka kijiji kadogo while Dodoma city ni mji mpya wa kisasa huwezi kulinganisha hata na mji mkongwe wa ka Nairobi wala DSM.
 
So you're asking between setting industries and building government offices which will have more economic impact?
Industries zenyewe ziko wapi, usichanganganye kati ya industries na companies, hivyo vi kampuni uchwara viwili vitatu vya Tatu village huwezi kuita industries.
 
Hivi nyie wakenya mnatoa wapi ujasiri wa kulinganisha imagination zenu vs Reality.? Tatu town ni mapori na ahadi ya ujenzi while Dodoma ni kila kitu kinajengwa as we talking right now, au mnatafuta kiji mji cha kufanya comparison nasi Ili ionekane hatujawawipita.? [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Tunavyoongea hivi sasa Dodoma iko na viwanda vikubwa tu tena vyenye brand kubwa Tz, mfano viwanda vya wine kama Dompo n.k, kiwanda cha magodoro Comfy n.k (zote hizi brand kubwa bongo) . Na viwanda kibao under construction kama kiwanda kikubwa cha mbolea, SGR inafika Dodoma, Different kinda projects like international airport, International indoor Arena, Dodoma will also host embassies zote (kwahyo tegemea kuona investment kubwa kubwa DOM pamoja na HQ ) .. DODOMA will be having Three CBDs separate .. 1. Old CBD (ambayo nayo kwasasa ipo kwenye construction boom), New CBD ambayo nayo inapata gorofa nyingi nyingi high rises, lakini pia Dom Iko na Political capital (Magufuli new government City) those CBDs ar far to one another for at least three km and above, i.e Magufuli City iko mbali sana na town nafkiri hata 5 km ..

Mnatoa wapi ujasiri wa kulinganisha DODOMA na gated community zenu.? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa kiasi hicho kumuelekeza konokono , we umewahi kuona wapi city ikalinganishwa na kiproject kinoja cha center flani..

Kuna vitu nivyakupotezea la sivyo mtapotezewa mda na wajinga flani wasio na mantiki yeyote
 
Hivi nyie wakenya mnatoa wapi ujasiri wa kulinganisha imagination zenu vs Reality.? Tatu town ni mapori na ahadi ya ujenzi while Dodoma ni kila kitu kinajengwa as we talking right now, au mnatafuta kiji mji cha kufanya comparison nasi Ili ionekane hatujawawipita.? 🤣🤣🤣, Tunavyoongea hivi sasa Dodoma iko na viwanda vikubwa tu tena vyenye brand kubwa Tz, mfano viwanda vya wine kama Dompo n.k, kiwanda cha magodoro Comfy n.k (zote hizi brand kubwa bongo) . Na viwanda kibao under construction kama kiwanda kikubwa cha mbolea, SGR inafika Dodoma, Different kinda projects like international airport, International indoor Arena, Dodoma will also host embassies zote (kwahyo tegemea kuona investment kubwa kubwa DOM pamoja na HQ ) .. DODOMA will be having Three CBDs separate .. 1. Old CBD (ambayo nayo kwasasa ipo kwenye construction boom), New CBD ambayo nayo inapata gorofa nyingi nyingi high rises, lakini pia Dom Iko na Political capital (Magufuli new government City) those CBDs ar far to one another for at least three km and above, i.e Magufuli City iko mbali sana na town nafkiri hata 5 km ..

Mnatoa wapi ujasiri wa kulinganisha DODOMA na gated community zenu.? 🤣🤣🤣
Kumbe reasoning yako ni fikra za kuipita Kenya tu? All this time unalazimishaga ndoto zako ili muonekane mmeipita Kenya eti😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 u remain to be a joker for real., nilidhani uko serious kumbe ni wishful thinking tu na blind patriotism😂😂😂😂😂.,
Eti CBD tatu, na ata moja hakuna bado ni muonekano wa shopping centre, eti CBD😂😂😂😂.., dodoma bado ni Kijiji in Tanzania afadhali uongelee Mwanza jiji lililo choka na Arusha lakini sio Dodoma bana😂😂😂😂😂.,
Yaani ulazimishe an economic zone with over 70 companies some with international footprints na hizo investments chache za ka Dodoma? uko sawa kweli? Najua unaipenda na kuienzi Tanzania, lakini usijikoseshe ufahamu wazi wazi hivyo..,
1658842060170.png

Dodoma naipea Thika Industrial town hapa Kenya.., na bado haitawezana nayo economically and aesthetically..,
Thika Industrial Town👇👇, zote na Tatu City ziko ndani ya Kiambu County.., Tanzania n Dodoma is growing yes, sikatai, lakini bado haijafika..,
1658845612595.png

1658845915235.png

1658845625007.png

1658845716786.png

1658845755267.png

1658845952342.png

1658845936838.png

1658845964166.png

1658845986329.png
 
Back
Top Bottom