Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Transit Goods last year from Dar Port
6.3million tonnes

Hapo TICTS wanatuzingua sana inabid wawe kwenye 1 million TEUs
Naskia wako very inefficient

Na serikali bora isirenew mkataba wao..TPA wa operate container terminal

View attachment 2300240
Ina maana SGR yenu ya cargo itakua ni white elephant kabla haijaanza kazi, eti 6.3 million tonnes kwa mwaka! alafu The best 007 aseme mko na GDP ya $150B, 😂 😂 😂 😂
Kenya ilipitisha mizigo 34.13 million tonnes na hiyo ni below the target of 35.90 million tonnes, yaani biashara ilikua chini., nchi ya GDP🔥🔥🔥
1658560396107.png
 
We fikiria boss Mpango anatokea Kigoma ambao ni mkoa wenye kijani kibichi, mvua za kutosha, Wizara ya Mazingira iko chini yake, nilifikiri angekuwa mkali na mwenye maono ya kuifanya Tanzania kuwa ya kijani zaidi lakini amekuwa mpole sana sijui kwanini.

DODOMA kwa kweli inahitaji jitihada na juhudi za maksudi ili ipendeze kwa kuwa kijani. Wakishindwa hizo Wizara basi wawapatie tender JKT mbona itakuwa rahisi sana kumaliza hilo zoezi.

Waweke Sheria mti wowote ukikauka kwenye eneo la mtu,anayeishi mahali hapo awawajibishwe.

Nina uhakika kila mmoja atakuwa makini. Lakini haya mambo mengine ya kubembelezana kama watoto wadogo hatutafika tunapoenda, la tutafika tumechelewa sana.
Kabisa hatuna viongozi wanaopenda mazingira miti zaidi ya wachache tena wanaongea hewani..
Tuna kazi kubwa kwa kweli
Kazi yao ni kusifia kaupiga mwingi tu
 
Ina maana SGR yenu ya cargo itakua ni white elephant kabla haijaanza kazi, eti 6.3 million tonnes kwa mwaka! alafu The best 007 aseme mko na GDP ya $150B, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenya ilibeba 34.13 million tonnes na hiyo ni below the target of 35.90 million tonnes, yaani biashara ilikua chini., nchi ya GDP[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2300878
Hizo ni Transit goods..kwani sgr ni transit goods pekeee ..plus kumbuka container terminal yetu imekuwa leased kwa TICTS amabyo imekuwa ina perfom vibaya..na contract yao inaisha mwaka huu..so before even SGR kuisha we will be expaning our ports massively..hatutakaa idle tu subiri uone
 
Hizo ni Transit goods..kwani sgr ni transit goods pekeee ..plus kumbuka container terminal yetu imekuwa leased kwa TICTS amabyo imekuwa ina perfom vibaya..na contract yao inaisha mwaka huu..so before even SGR kuisha we will be expaning our ports massively..hatutakaa idle tu subiri uone
Hiyo ni total goods handled by Tanzanian ports kwa mwaka! Port sio tatizo, soko ni ndogo ata mkipanua ports, uwezo wa nchi ni mdogo, nchi zilizo wazunguka hazina economic muscles to import/export zaidi pia.., ndio maana SGR itakua white elephant kwa miaka kadhaa..,
 
Kabisa hatuna viongozi wanaopenda mazingira miti zaidi ya wachache tena wanaongea hewani..
Tuna kazi kubwa kwa kweli
Kazi yao ni kusifia kaupiga mwingi tu
Mnavyowasakama viongozi as if jamii ya hapo Dodoma inajali mazingira! Ukipita Tanzania nzima hata huko Mufindi utaona jamii zina muamko wa kupanda miti na kutunza mazingira!
 
Ina maana SGR yenu ya cargo itakua ni white elephant kabla haijaanza kazi, eti 6.3 million tonnes kwa mwaka! alafu The best 007 aseme mko na GDP ya $150B, 😂 😂 😂 😂
Kenya ilibeba 34.13 million tonnes na hiyo ni below the target of 35.90 million tonnes, yaani biashara ilikua chini., nchi ya GDP🔥🔥🔥
View attachment 2300878
Hiii ndio kitu am too eager kuona, hiii rail ni a big white elephant, mybe kama dar ingekuwa Dodoma ama mwanza
Majirani zao ni maskini hakuna mzigo wa maana unaenda huko!
 
Mjukuu ungefanya utafiti kabla ya kukurupuka, Tatu city ndio imepita 10 years sasa, ukweli inauma! 😂 😂 😂 😂 , ata Dodoma haina investments kama za Tatu City kwa sasa., mtaendelea kupata maumivu., hadi raha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Maendeleo ya Tatu City ni zaidi ya 1% unayo tamani sana ikue ukweli, nipe investments in Dodoma kwa sasa tuone
😜😜🔥🔥🔥🔥👇👇
View attachment 2300806
View attachment 2300807
View attachment 2300805
View attachment 2300809
View attachment 2300810
View attachment 2300811
View attachment 2300812
View attachment 2300814
View attachment 2300816
View attachment 2300817
View attachment 2300818
View attachment 2300835
Dodoma ipi hiyo unaongelea wakati the whole of Tatu city ni size ya university of Dodoma? Dodoma yenye SGR, 112 km of ringroad, +50 km of roads in Mtumba government city, Msalato international Airport project, Mkapa ultra modern hospital, 2 5 star hotels and 26 ministries buildings U/C!?





 
Jitihada zipo, ila mwitikio wa raia pia ni muhimu ili kufanikisha hili.

Mwaka 2019/2020 serikali za mitaa walikuwa wanagawa Bure miche ya miti na ya matunda Kwa wananchi. Watu Wali chukua Kwa wingi ila sidhani kama waliweza kuitunza.
Shida kubwa ni kuitunza.

Naona Serikali za mitaa na Mabalozi wa mitaa wawe ndio wafuatiliaji wa utunzaji wa mazingira hasa kuhakikisha miti yote iliyotolewa kwa wananchi inakua.
 
Kabisa hatuna viongozi wanaopenda mazingira miti zaidi ya wachache tena wanaongea hewani..
Tuna kazi kubwa kwa kweli
Kazi yao ni kusifia kaupiga mwingi tu
Tatizo kila kitu siasa halafu wanaangalia aliyepo juu anapenda nini, basi hapo wanafuata upepo jinsi unavyovuma kutokea juu.

Wangejipanga tu,mama adili na inshu za kimataifa sana.

Vice awepo ndani kumonitor shughuli za ndani na awe close na suala la mazingira na uwekezaji.

PM awe kiranja mkuu kama alivyo sasa hivi,ila yeye adili na kufuatilia michongo yote ya ubadhirifu wa miradi, kuchelewa kwa miradi kukamilika, uzembe n.k kwasababu kona na chocho zote za nchi anazijua na ni rahisi kufika.

Najua sheria zipo za wao kufanya kazi ila cha msingi zaidi ni kukubaliana na kujipanga. Mama hawezi kufanya kazi zote kwa wakati mmoja.
 
Mnavyowasakama viongozi as if jamii ya hapo Dodoma inajali mazingira! Ukipita Tanzania nzima hata huko Mufindi utaona jamii zina muamko wa kupanda miti na kutunza mazingira!
Ndio mana tunasema wajipange vizuri ikibidi itungwe sheria kuwabana hawa wananchi wazembe wazembe wasiojua faida za miti lasivyo itakuwa kazi bure kupanda miti kwenye jamii isiyohitaji.

Angalia Geita nao wanakuja vizuri kwenye kufyeka misitu wasipowawahi watasababisha ukame. Kuna jamii kwa kweli zinahitaji elimu zaidi kuhusu kutunza mazingira.
 
Back
Top Bottom