Maumivu zako peleka TandaleKisumu ni kijiji cha pili kwa uchafu after ka Nairobi ukitaka evidence sema nikupe.
Wakat nyie ndo mnaongoza kwa wivu na mnategemea sana western kweny kuimport kuliko kutoka kwa fellow africans
Tatizo unaweza kushangaa yanaishia kwenye papersKazi nzuri sana hongereni wote mliobuni huu mradi.
Walichonifurahisha zaidi ni kwamba watapanda miti na maeneo yote yanayozunguka Recreational park.
Kwamba yapo maeneo mengine yataboroshwa. Nawapongeza tena.
Kunyweni soda nyote nakuja kulipa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji122][emoji122][emoji122]
infact ni sisi tu! in sub saharan africa ndo tuli trade na the apartheid south africa during the notorious botha regime. hio ilitendekeza ata mandela na mbeki kususia sana kenya.
kwa wakati moja, mandela alikataa kushuka kwa ndege ili kusalimia kenyan officials walio wasili kumjulia hali. alikua enroute to another country via JKIA, pia mbeki hakuwai zuru kenya kwa wakati huo wote alikua rais, hadi pale alipo staafu, akija kutafuta kitabu flani UoN. kisa ya haya yote... eti tulishiriki na wabaguzi wa rangi. nakumbuka kwa huo wakati, wakenya wengi sana ikiwemo msomi mashuhuri the late taita towett, walifusu masomo yao yote hadi phd kule afrika kusini.. 🤔
ntasema pia huo ujeuri wa moi na jomokenyatta ilisaidia sana pakubwa, ilitusaidia kuunda msingi wa uchumi wetu hadi sasa tumepiga range nchi mingi za sub saharan, hadi kua namba tatu kwa uwezo wa uchumi, kwa nchi 75% jangwa, na pia bila kua na madini yoyote, hio effort sio mchezo babake...! hivi kenya is the largest non-resource economy country in africa
yatafakari hayo 🤔🤔. we are a sovereign state afteral... kwani!. hatupangwingwi
Kwahiyo hizo nchi zote hapo ni shamba la bibi?, Jaribu kufikiria uzito wa hizo nchi mnazokimbilia kwenda kufanya kazi, linganisha na hizi hapa
1)South Sudan
2) Ethiopia
3)Somalia
4)Rwanda
5)Uganda
6) DRC
Kwanini msiende huko badala yake mnakimbulia USA, UK, Tanzania, South Africa na Canada?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
naona kweli we are fucking u pipo... na styles zote yani 🤣Wakenya Mnazngua sana ..View attachment 2299910
Wapande miti sanaDodoma
Ila kwa hili wameanza hapo Mwembeyanga nimeona greda linasawazisha. Wakiishia hapo hapo na yakabaki kwenye papers naenda kuwadai pongezi zangu...sipangiwi nitawapa wengine [emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]Tatizo unaweza kushangaa yanaishia kwenye papers
Wewe hujui chochote,wakenya wengi waalipata kazi kwenye Sekta ya Elimu tena hiyo ilikuwa ni enzi za jakaya na walikuwa ovyo sana labda kuongea tu english,baadae serkali ikaendesha operation ya kuwaondoa wahamiaji haramu....aiseeh!! Nilishuhudia kundi kubwa la Wanyarwanda na wakenya wakirudi kwao...toka siku hiyo niliamini kuwa wakenya ni maskini.sanaShamba la bibi lazima tulikamue. Tanzania wakijua wewe ni mkenya huwezi kosa kazi, hata kama hakuna nafasi wataitafuta mpaka itokee. Alafu mkenya halipwi sawa na mtanzania hata wafanane kimasomo. Endeleeni kutu tajirisha wakati kenya ndugu zenu wanasugua masufuria ya vyombo😂😂😂🙏
Kweli mkuu hali si nzuri.Wapande miti sana
Mwanza Aviation school-MwanzaZiweke hapa, pia sisi tuzifahamu
A left hand can easily be spotted!Signature ya mlevi wa Kenya 😄
View attachment 2300447