Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenya we have multi million dollar projects going on.. ni venye sisi hatujabarikiwa kupiga kelele kama madugu zetu wa kusini.
i've just researched, our infrastructure budge quadruples tht of Tz! in 2022. kenya nchi ya gdp..



the on going isiolo stadia👇🏽

View attachment 2299960View attachment 2299962View attachment 2299961








the on going eldoret stadia👇🏽

View attachment 2299963
20220722_223014.png
20220722_223036.png

Soma uzi uzi uo..........af kalilie chooni 😎
 
imagin on top of hizi maluku zote, she is still the reigning 1500m world champion! (incl the olympics) for 8yrs now running and very consistently



c/c Geza Ulole, pia huyu faith kipyegon ni mkale👇🏽
FB_IMG_1658518641753.jpg
 
Ila kwa hili wameanza hapo Mwembeyanga nimeona greda linasawazisha. Wakiishia hapo hapo na yakabaki kwenye papers naenda kuwadai pongezi zangu...sipangiwi nitawapa wengine [emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Huwa wanazinguaga maana hata taarifa ya fungu ya bajeti itakayotolewa hapo kwaajili ya huo ujenzi hatuna taarifa nayo rasmi maana joketi kaingia juzi juzi tu..wazo limetoka kwa jokate na hata halikuwa kwa plan ya serikali
 
Kweli mkuu hali si nzuri.

Watengeneze task force inayoundwa na watu kutoka Wizara ya Ardhi, Maliasili na Ofisi ya Makamu wa Rais na Muungano hasa NEMC.

Hii iwe na jukumu la kuhakikisha DODOMA yote inakuwa ya kijani, lakini kutegemea watu wa Wizara moja au kitengo kimoja haitaleta matokeo ya haraka.

DODOMA ni makao makuu ya nchi lazima iwe na taswira nzuri ya kuvutia na Kuwa mfano kwa miji mingine. Miti inapendezesha mazingira yoyote,iwe kijijini au mjini.
Tatizo serikali yetu haifikirii hivyo hapo mpaka atokee kiongozi msimamizi wa kutekeleza mambo
 
View attachment 2300453View attachment 2300454
Soma uzi uzi uo..........af kalilie chooni 😎
my broda from another mother.. mambo na stadia tuwachieni kwa sasa.. hivi around 20 ultra modern stadiums under construction at various counties.. now counties are competing who will build the best stadium.. hebu turejelee hili swala, say in 3yr, upigwe na butwaa🙀 ile hatua tutakua tumepiga..

🙏🏽 the blessing of having a devolved system of government.. it has come with lots of blessings. we are now witnessing unbelievable infrastructure developments even at the remotest of counties.. the likes of turkana, marsabit, garissa, wajir, mandera, isiolo and wht have u
 
Huwa wanazinguaga maana hata taarifa ya fungu ya bajeti itakayotolewa hapo kwaajili ya huo ujenzi hatuna taarifa nayo rasmi maana joketi kaingia juzi juzi tu..wazo limetoka kwa jokate na hata halikuwa kwa plan ya serikali
Huyu dada anajitahidi. Apewe support ni maono mazuri nimependa idea yake.
 
Tatizo serikali yetu haifikirii hivyo hapo mpaka atokee kiongozi msimamizi wa kutekeleza mambo
We fikiria boss Mpango anatokea Kigoma ambao ni mkoa wenye kijani kibichi, mvua za kutosha, Wizara ya Mazingira iko chini yake, nilifikiri angekuwa mkali na mwenye maono ya kuifanya Tanzania kuwa ya kijani zaidi lakini amekuwa mpole sana sijui kwanini.

DODOMA kwa kweli inahitaji jitihada na juhudi za maksudi ili ipendeze kwa kuwa kijani. Wakishindwa hizo Wizara basi wawapatie tender JKT mbona itakuwa rahisi sana kumaliza hilo zoezi.

Waweke Sheria mti wowote ukikauka kwenye eneo la mtu,anayeishi mahali hapo awawajibishwe.

Nina uhakika kila mmoja atakuwa makini. Lakini haya mambo mengine ya kubembelezana kama watoto wadogo hatutafika tunapoenda, la tutafika tumechelewa sana.
 
my broda, mambo na stadia tuwachieni kwa sasa.. hivi around 20 ultra modern stadiums under construction at various counties.. now counties are competing who will build the best stadium.. hebu turejelee hili swala, say in 3yr, upigwe na butwaa[emoji79] ile hatua tutakua tumepiga..

[emoji1431] the blessing of having a devolved system of government.. it has come with lots of blessings. we are now witnessing unbelievable infrastructure developments even at the remotest of counties.. the likes of turkana, marsabit, garissa, wajir, mandera, isiolo and wht have u

Mkiona uchafu huyu kondoo anazosema ni "ultra modern" hutoshangaa mbona wakale kitu wamepewa ni meno tu.
 
Back
Top Bottom