Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bila serikali kuwanunulia chakula, hamna uwezo wa kupata Milo mitatu kwa siku

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe umeona wapi ni black ama uko colorblind,unless unaongelea black beans aka njahi
 
Skia kondoo, im sure haujui the baggage problem UK airport has been having, si ufungue tu link ata usome, atcl has never tasted profits nor break even[emoji28]
ATCL kila mwaka inapunguza loss kwa asilimia zaidi ya 30 na uzuri wa Air tanzania haina gharama za kulipa ndege za kukodi ina maana automatic loss inapungua sana

ATCL ni kampuni iliofufuliwa rasmi just 3 yrs na bado inafanya vzr kwenye kupunguza loss na bado investment inaendelea kwa sasa ndege 5 zimenunuliwa tena so bado tuko ndani muda mzuri wa investment

KQ inamiliki ndege ngapi chakavu naomba jibu lako 😂😂😂 na kwann loss imewaandama kwa sasa 10 yrs bila nafuu ukipata majibu nitafute plz
 
Any one who feeds you, controls you, doesn't matter if it is USA, Mexico, Tanzania, China or UAE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

[emoji23][emoji23][emoji23]

 
Sio kwamba wanaomchngia Ukraine ndio dhaifu?
Hapana! Wao walimwambia ukimvamia Ukraine jua kuwa hatakuwa peke yake, akasema yeyote atakaye ingilia hii vita atakutana na kipigo.

Je wamekutana na hicho kipigo?
 
Haibadilishi ukweli nyie ni hovyo., zoea ukweli ba mzee., ni uchungu naelewa ila utanyooka tu., [emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Who feeds you, controls you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji54]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
nikama russia wanaweza ata piga nato. russia wana zana nyingi za kinuklia ata kuzidi nato[emoji848] cc Tony
[emoji378][emoji378][emoji378]................ [emoji95]
Hii vita inachekesha sana.Uzuri alishaambiwa akiipiga Ukraine nyuklia na wao wanapiga, je majemedari wake wako tayari kupiga na kupigwa.?

Si ajabu Crimea muda wowote inarudi, Snake Island wameshaondoka, bandari ya Odessa itaanza kufanya kazi kupitisha bidhaa tuone hizo bei kama zitapungua.
 
Kuna kipindi walitaka kuanza huu ujinga wao hapa Tanzania wakakutana na mkono wa chuma mbona walikimbia wenyewe.

Hivi kuna taifa hapa duniani linalofanya wizi wa mitandaoni kama Nigeria kweli [emoji848][emoji848]
 
Haibadilishi ukweli nyie ni hovyo., zoea ukweli ba mzee., ni uchungu naelewa ila utanyooka tu., [emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I am sorry to show you this, but it is how majority of Kenyans live
Who feeds you, controls you.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…