Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha ukiacha mbali upishi wa chakula anachokula hasa mboga (hiyo kwa Tanzania ni supu watu wenye hangovers wanakunywa Asubuhi na sio mboga sababu ipo plain)

Kingine ni hivyo vyombo vya chakula [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] vilitumika Tanzania 1940s, zunguka Tanzania nzima hutoviona isipokua Magereza [emoji28][emoji28][emoji28]

View attachment 2297375
Anakula ugali na mchemsho wa nyama,[emoji849][emoji849][emoji849],mapishi gani haya???
 
Hapo hakuna mapishi ni uchafu tu kwa sisi tunaojua vyakula kwa macho tu tunajua chakula kipi kitamu na kipi kibovu
Umeiona hiyo nyama jinsi ilivyopauka?
Angalia mchuzi umepungukiwa viungo, mwepepsi, hicho chakula hakina ladha kabisaa.
 
Yaani ninyi kwenye kupika bado Sana [emoji28][emoji28][emoji28] sasa hiki chakula anakula binadamu au mbwa?

Mifupa yote hii ya kazi gani kwenye food for human consumption? Tanzania ni steak tu huwezi kuta hii kitu na ukiwawekea hivi watakususia, watu wanatakiwa wale kwa kurelax na kijiko na sio kupambana na mafupa ya dogi mezani, itakua vita hiyo sio eating [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] akitoka hapo mikono yote mafuta na kula mpaka akunje shati [emoji28][emoji28][emoji28]

View attachment 2297436
Hii nyama haina ladha imepikwa kilocal sana, imechemshwa na kutupiwa chumvi shaaa imeletwa mezani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gachagua did well than expected, but very evasive, kuna mtu alimpea points he was checking mwaks, he was cornered 😂 😂 😂 Karua is solid., may the best team win.

Gachagua did well than expected, but very evasive, kuna mtu alimpea points he was checking mwaks, he was cornered 😂 😂 😂 Karua is solid., may the best team win.

I saw that one 😂😂😂
Man was debating Uhuru Kenyatta not Martha karua
But all in all a win for any side is a win for Kenya
 
Gachagua did well than expected, but very evasive, kuna mtu alimpea points he was checking mwaks, he was cornered [emoji23] [emoji23] [emoji23] Karua is solid., may the best team win.
Ata mimi nilifeel ivo.Alafu most of the time alkua anaattack Kenyatta amabaye hakua hapo kujitetea..Tungoje ya marais next week itakua [emoji91][emoji91]
 
Mombasa is very beautiful
Nenda umdanganye Mama Ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1763883324_531x357.jpg
 
ATCL kila mwaka inapunguza loss kwa asilimia zaidi ya 30 na uzuri wa Air tanzania haina gharama za kulipa ndege za kukodi ina maana automatic loss inapungua sana

ATCL ni kampuni iliofufuliwa rasmi just 3 yrs na bado inafanya vzr kwenye kupunguza loss na bado investment inaendelea kwa sasa ndege 5 zimenunuliwa tena so bado tuko ndani muda mzuri wa investment

KQ inamiliki ndege ngapi chakavu naomba jibu lako [emoji23][emoji23][emoji23] na kwann loss imewaandama kwa sasa 10 yrs bila nafuu ukipata majibu nitafute plz
So ATCL has never existed before 3 years ago, kwani hii ndio mwanzo wa kuifufua, did you just admit ATCL is also a loss making airline[emoji1787]
So before calling KQ loss making start by ATCL uwache excuse mingi wakibreak even ndio utuambie
 
Gachagua did well than expected, but very evasive, kuna mtu alimpea points he was checking mwaks, he was cornered 😂 😂 😂 Karua is solid., may the best team win.

Gachagua bottled it like i expected him to do. Someone said online that the sharpness of rigathi depends on your IQ. Martha was Sober, calm and airticulated herself meticulously.
 
Back
Top Bottom